Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha. Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan. gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
0 Reactions
11 Replies
674 Views
Tuusikilize kwa makini
4 Reactions
6 Replies
513 Views
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na...
2 Reactions
9 Replies
985 Views
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Washington Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe amesema wao Benki ya Dunia Wanaitambua Tanzania Kama Nchi inayoendeshwa Kwa Ufanisi zaidi barani Afrika. Bwana Kibwe...
2 Reactions
11 Replies
690 Views
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha. On top of that ujinga wa...
3 Reactions
26 Replies
897 Views
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la...
9 Reactions
14 Replies
939 Views
Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya...
2 Reactions
8 Replies
669 Views
Kumekuwepo na kugugumizi cha kushindwa kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu wa nchi yetu hata baada ya nchi kuingia mkataba wa UHURU NA UWAZI na nchi ya marekani...Bado Tanzania imeendelea...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende. Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi...
2 Reactions
16 Replies
637 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Miaka Minne ya Rais Samia Suluhu Hassan Tumeona ujenzi wa hospitali za wilaya 129, vituo vya afya 367, majengo 87 ya huduma za dharura, na majengo 30 ya wagonjwa mahututi (ICU) yote yakifanyika...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya...
1 Reactions
8 Replies
615 Views
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka. Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga. UBAYA UBWELA =============
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi. Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Machi 11, 2025 Jijini Dar Es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Leontine Nzeyimana Katika Mazungumzo yao...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu, Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM? Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki? Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake...
13 Reactions
81 Replies
5K Views
Back
Top Bottom