Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,031
Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha.

Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa MLO mmoja hizo Fedha mnazotaka WENZA wenu WALIPWE ni KODI za hao MASIKINI ambao hata Mlo wao wa Kesho hawaujui.

Kwanini hayo MAMILIONI yasipelekwe KUWAAJIRI WATOTO wa hao MASIKINI ili wawatunze Wazazi wao?Kuna MWENZA mmoja mumewe ni Rais Mstaafu ambaye pamoja na kustaafu analipwa MAFAO yake kila Mwezi na huyo Mwenza ni MBUNGE analipwa POSHO na MISHAHARA kila Mwezi nayo ni Mamilioni je hiyo ni Haki kweli?

Hebu VIONGOZI wetu kuweni na HURUMA kwa Masikini Wananchi wenu.

Kumbukeni na Maandiko Matakatifu ya Dini.

"Tulikuja watupu Tutarudi kwake Watupu" HAYO MAMILIONI mnayojilimbikizia mtaenda nayo wapi?
 
Inaonekana wazi Kikwete na famia yake ni waoga wa maisha.Kikwete ni rais mstaafu. Lakin kila mradi muhimu wa serikali anautaka. Safari za Mama Samia, nje ya, nchi anazitaka.Amepigania mpaka mtoto wake pia ni mbunge, na naibu wazir. Mke wake ni mbunge.

Watoto wa marafiki zake amewapigania ni wabunge na pia ni mawazir.Sasa ameona, hiyo haitoshi amemshauri mke wake, aweke hoja bungeni kuomba, mafao ya, wake za, viongozi.

Mheshimiwa, Kikwete Senior sio sawa, mnachowafanyia watanzania. Tunakuomba sana, utumie ushawishi ule ule kwa mama Samia kuomba hoja ya mafao kwa wake wa viongozi itolewe.

Kama itaendelea kuwepo hadithi yako huku nyuma na mke wako itakuwa mbovu sana.
 
Kwakweli nchi tunaambiwa masikini ila matumizi ya anasa kila siku kwakweli wawe na aibu mimi nikiwaambiaga watu bora tungeendelea tu kutawaliwa na wazungu mnaleta ujuaji ooh uzalendo haya hao wazalendo wetu wanaoga hela huku sisi tunazidi kutaabika mara maji mara umeme watoto wetu wakimaliza chuo hakuna ajira yani ahida juu ya shida banks interests zipo juu huku wao wakikopeshana hela bila ya riba kwenye mifuko aisee
 
Aliyemteua mama salma kwenda bungeni ni Magufuli.

Magufuli ndie alikosea sana kumpeleka huyu mama bungeni kama shukran kwa kikwete kumbeba urais
Naona umesahau tu ndugu yangu, kumlaumu tu Magufuli. Huyu mama sio Mbunge wa, viti maalum. Ni mbunge wa, kuchaguliwa huko kwao.
 
Magufuli ndio sababu ya yote. Hata huo ubunge wa kuchaguliwa bila magufuli hasingeupata. Maana alishindwa kura za maoni za wajumbe. Magufuli akambeba agombee yeye kinguvu. Na yule aliyeshinda kura za wajumbe ndie akamteua viti maalumu amtulize

Bila magufuli huyu mama hasingekuwa bungeni
 
Hawa watu na hasa hii familia na familia zingine chache kama za Kinana, Makamba wanaamini sisi inabidi tufanye kazi kwa ajili ya familia zao huku wakiendelea kuiba mali za Tanzania.

Watanzania wanalipa kodi ili wao na familia zao wazitumbue. Kwa akili yao wanaona hio ni haki yao kwa asilimia 100%.
 
Hakika nimeshtushwa na Taarifa ya WENZA wa Viongozi Wakuu wa NCHI nao KULIPWA MAMILIONI ya Fedha.

Viongozi wetu hebu jaribuni KUMWOGOPA MUNGU wananchi mnaowaongoza ni Masikini sana wanaishi kwa MLO mmoja hizo Fedha mnazotaka WENZA wenu WALIPWE ni KODI za hao MASIKINI ambao hata Mlo wao wa Kesho hawaujui.

Kwanini hayo MAMILIONI yasipelekwe KUWAAJIRI WATOTO wa hao MASIKINI ili wawatunze Wazazi wao?Kuna MWENZA mmoja mumewe ni Rais Mstaafu ambaye pamoja na kustaafu analipwa MAFAO yake kila Mwezi na huyo Mwenza ni MBUNGE analipwa POSHO na MISHAHARA kila Mwezi nayo ni Mamilioni je hiyo ni Haki kweli?

Hebu VIONGOZI wetu kuweni na HURUMA kwa Masikini Wananchi wenu.

Kumbukeni na Maandiko Matakatifu ya Dini.

"Tulikuja watupu Tutarudi kwake Watupu" HAYO MAMILIONI mnayojilimbikizia mtaenda nayo wapi?
Analipw pocket money ili rais wetu asiombwe ombwe elaaa
 
Ndiyo tabia zao
IMG-20240306-WA0011.jpg
 
Inaonekana wazi Kikwete na famia yake ni waoga wa maisha.Kikwete ni rais mstaafu. Lakin kila mradi muhimu wa serikali anautaka. Safari za Mama Samia, nje ya, nchi anazitaka.Amepigania mpaka mtoto wake pia ni mbunge, na naibu wazir. Mke wake ni mbunge.

Watoto wa marafiki zake amewapigania ni wabunge na pia ni mawazir.Sasa ameona, hiyo haitoshi amemshauri mke wake, aweke hoja bungeni kuomba, mafao ya, wake za, viongozi.

Mheshimiwa, Kikwete Senior sio sawa, mnachowafanyia watanzania. Tunakuomba sana, utumie ushawishi ule ule kwa mama Samia kuomba hoja ya mafao kwa wake wa viongozi itolewe.

Kama itaendelea kuwepo hadithi yako huku nyuma na mke wako itakuwa mbovu sana.
images.jpeg
 
Watu wanakula BATA 😅😅😅😅
Maisha ni Matamuuu 😅😅😅😅
Lakini ni Mafupiii Duh 🙄🙄🙄 !!
Hatar sana !
 
Back
Top Bottom