Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amesema Serikali inatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo ni wajibu wa viongozi kushirikiana na chama ili kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima...
1 Reactions
5 Replies
534 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Heshima si utumwa ni miongoni mwa hekaya za wahenga. Waliona umuhimu wa heshima kwamba kumuheshimu mtu haikufanyi uwe mtumwa wake, lakini bado wakaongezea kwamba 'Heshima...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi...
18 Reactions
46 Replies
3K Views
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Kanda ya Kusini katika...
0 Reactions
9 Replies
637 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema umahiri wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatokana na juhudi zilizofanywa na waasisi wa Taifa la Tanzania...
1 Reactions
13 Replies
992 Views
Si lengo langu kuingilia mamlaka za uteuzi , maana kuna msemo kwamba mkubwa hakosei lakini uteuzi wa wakuu wa mikoa ambao walishindwa ubunge majimboni mwao hauwezi kupita bila kujadiliwa . Mara...
14 Reactions
124 Replies
12K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?”...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali ameendelea kuwa kituko kwenye siasa za vyama vingi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina ziara Nyanda za juu Kusini na Leo wako Rukwa na...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Najiuliza nani anahusika kuandaa Taifa lenye wazalendo badala ya kuandaa machawa wasio na faida yoyote kwenye nchi zaidi njaa zao Fikra za watoto zinatakiwa ziingiziwe fikra za kizalendo...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani...
1 Reactions
20 Replies
873 Views
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali Kitendo Cha kuonyesha...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hi great Thinkers. Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
29 Reactions
98 Replies
3K Views
Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa mimi nimeandika hivi sio kwa lengo la kupinga makatazo yako kuhusu magari mengine (mbali na mabasi ya mwendo kasi) kutumia barabara za BRT. Sifurahii barabara...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba...
13 Reactions
145 Replies
8K Views
Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti. Au wanakubali...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Shirika la Twaweza East Africa limemtangaza Anna Bwana kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya, akichukua rasmi nafasi hiyo kuanzia Mei 15, 2025. Anna anachukua nafasi ya Aidan Eyakuze, ambaye sasa ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wa Kawe, Goba, Mivumoni na kwingineko mnasemaje,tumkumbushe au tumuache!
1 Reactions
0 Replies
181 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…