Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi...
1 Reactions
17 Replies
757 Views
Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Naomba Watanzania mnaojua Kiswahili fasaha mje mnifafanulie Ni nani aliyefanya Matumizi haya na kwanini?
3 Reactions
10 Replies
773 Views
Taarifa ya Chama hicho iliyotumwa kote Duniani hii hapa Nyongeza: Ujasiri wa Mwapachu kuhama ccm ambayo inawafilisi wanaohamia Upinzani kama siyo kuwamaliza, Ni ujasiri wa kutukuka na unapaswa...
1 Reactions
6 Replies
490 Views
Nina week nzima hapa Kahama, nimezunguka maeneo kadhaaa, ni AIBU kwa eneo kama hili lenye mapato makubwa kushindwa kabisa kujenga stand hata moja yenye hadhi. Inayoitwa stand kuu ni kama zizi la...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, amesema hana wasiwasi kuhusu ushindani katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti...
1 Reactions
2 Replies
524 Views
Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme. Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako...
2 Reactions
3 Replies
269 Views
“Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.” Kupata matukio na...
2 Reactions
7 Replies
758 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Heche John, amesema kuwa yule aliyehusika kumpiga Katibu Mwenenzi wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Taifa, Sigrada Mligo...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mesisitiza kuwa hana woga wa vitisho wala hofu ya ushirikina, akisema wazi kuwa hata wale wanaojaribu kuloga hawawezi kumtikisa. Akizungumza kwa katika uzinduzi wa Kampeni...
2 Reactions
11 Replies
791 Views
My Take Muda utaamua ngoja tuone --- Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesisitiza kuwa ajenda kuu ya chama hicho kwa sasa ni kuhakikisha...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu aliwahi kueleza hadharani namna kada wa chama hicho Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) alivyomlipia fomu ya...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
https://www.instagram.com/reel/DHvHL1bOb01/?igsh=azBpMGl4d2VlbW4z Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
"Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako. Umepoteza kabisa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Tukio la kutikisa dunia Arusha International Iftar (AII) limerushwa mubashara na Vituo vikubwa vya Televisheni Duniani. Hongera Dr
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…