Wakuu,
Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo...
Ninamashaka makubwa na sera za polisi hapa Venezuela hasa kutoka makao makuu ya jeshi Hilo hapa mjini Colombo kama linalinda raia na mali zao ama lipo kupambana na wanasiasa ! Polisi hapa mjini...
Bado ccm na serikali Ina haha ni kwa namna Gani CHADEMA inaenda kudhibiti uchaguzi mkuu ingali vyombo vya ulinzi viko kwake pasipo watu. CHADEMA yenyewe Ina watu ndio maana hamasa imekuwa kubwa...
Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya...
Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile Kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendeshwa na Watanzania wote wakishirikiana na Chadema, inaendelea kuchanja mbuga, na sasa imeingia Mbalizi, nje...
Ingia maofisini kila jumatatu au kutana nao kwenye vikao vyao na maongezi yao..Utasikia Kachana mmoja tu...
Maisha ya watumishi wa umma ni magumu sana na wana mikopo kila kona. Kuanzia kwenye...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya...
Wakuu,
Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh:
===
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga...
Pamoja na Serikali Kupitisha Sheria ya local content ambapo kiwango Cha tenda za ujenzi kilichotengwa Kwa Ajili ya Wakandarasi wa Ndani/wazawa kuwa Bilioni 50 Lakini Bado Serikali na taasisi zake...
Wakuu,
Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza...
Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.
Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama...
Wakuu,
Taratibu mwanga unaanza kuonekana! Chawa wanatagiwa kupigwa vita pande zote, yaani vijana baada ya kuwa mstari wa mbele kuokoa taifa ndio tunakuwa wa kwanza kuzamisha meli...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Serengeti kimelaani vikali matukio ya utekaji kuendelea hapa nchini yakihusisha viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, kwamba vitendo hivyo...
Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI.
Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi...
Katika historia ya siasa za Tanzania, uuzaji wa raslimali za nchi na ubinafsishaji wa mali za wananchi umekuwa na athari kubwa si tu kwa uchumi, bali pia kwa jamii kwa ujumla.
Vitendo hivi...
Mwenzenu toka nimepevuka kiakili miaka yote ninapofatilia ripoti ya CAG ni ubadhirifu na hasara tu na hakuna wakuchukuliwa hatua huku wananchi tusiyo na mamlaka tunazidi kuchoka.
Sasa nashauri...
Hemed Steven, mkazi wa Jimbo la Tunduma kata ya Chipaka, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu
Kwa maoni yake...