Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu
TLP na CUFwalianza hiv hiv na...
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno.
Vipo vyama vya siasa...
Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao.
Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa Zanzibar kwenye muendelezo wa ziara yake amefanya zoezi la ukaguzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za...
TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI.
Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na...
Kwanza ni matapeli
Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!!
Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu
Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama...
Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti.
Mhe Mjumbe habari,
Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt...
Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo.
Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya...
UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima.
!!!!!!
Chama kikuu cha Upinzani nchini...
Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli
What goes around comes around
Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu
Kila aina ya kashifa itafukuliwa
Kuanzia Kizimkazi...
Hili ni swali ambalo najiuliza.
Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani?
Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo...
Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu...
" Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi...
Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi?
Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi?
Jibu:Kitendo tu...
https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman...
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana...