Mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi ni hatua muhimu katika mchakato wa Demokrasia nchini Tanzania.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inawajibika kuhakikisha kuwa majimbo yanagawanywa kwa...
Kwa kweli Sina chuki na Mwenyekiti wa baraza la Aridhi wilaya ya same na Sina chuki na yule Binti hakimu
Ila nmesikitihwa na kitendo cha kuwa wanaairisha nashauri zaidi ya mara Tano paspo kuwa...
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa...
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket...
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya kushirikiana na Taasisi ya Mpango wa Hiari wa Kujitathmini katika Vigezo vya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) Tanzania katika...
Justin Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.
Kijana Kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .
Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na...
Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini...
Wakuu,
1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro...
TAARIFA HII IMEKANUSHWA NA TEF. Zaidi soma Jukwaa la Wahariri Tanzania lakanusha kutoa tamko dhidi ya CHADEMA
----
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia...
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni...
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha...
Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi.
Mashariti ya...
Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija.
================
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa...
Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo...
WB imeidhinisha USD 200m za kuboresha miundombinu ya Barabara jijini Dodoma.
-
The World Bank has approved a $200 million investment to enhance urban mobility and accessibility in Tanzania’s...
Ni Tanzania pekee huduma kwa wananchi kusitishwa/kusimamishwa ili kupisha mkutano wa Chama. Gari zote zinafanya shughuli za kushusha na kupakia abiria nje ya stendi
-Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.