Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,702
Reaction score
58,771
Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli

What goes around comes around

Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu

Kila aina ya kashifa itafukuliwa

Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG

Kiufupi Samia atakuwa na mwisho mbaya nashauri aanze kufungasha virago kuondoka Ikulu

Anguko lake litakuwa na mshindo mkubwa Sana Sana!!
 
1743800888802.png
 
Aende salama Kizimkazi asije tu kutuanzishia vita hii nchi hatujawahi kimwaga damu kama Visiwani.
 
Back
Top Bottom