Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini...
4 Reactions
6 Replies
660 Views
Wakuu, 1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
TAARIFA HII IMEKANUSHWA NA TEF. Zaidi soma Jukwaa la Wahariri Tanzania lakanusha kutoa tamko dhidi ya CHADEMA ---- Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
1 Reactions
0 Replies
338 Views
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha...
24 Reactions
133 Replies
7K Views
Serikali inacheza na akili za wadanganyika wa hili Taifa. Swala la Wachina si kwamba Serikali haijui inajua sana ila inataka kuzuga inajali raia wake kipindi hiki cha uchaguzi. Mashariti ya...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija. ================ Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
WB imeidhinisha USD 200m za kuboresha miundombinu ya Barabara jijini Dodoma. - The World Bank has approved a $200 million investment to enhance urban mobility and accessibility in Tanzania’s...
1 Reactions
9 Replies
860 Views
Ni Tanzania pekee huduma kwa wananchi kusitishwa/kusimamishwa ili kupisha mkutano wa Chama. Gari zote zinafanya shughuli za kushusha na kupakia abiria nje ya stendi
0 Reactions
4 Replies
669 Views
-Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa...
0 Reactions
2 Replies
354 Views
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA KAZI ,AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA. KUHUSU UVAMIZI WA FURSA ZA AJIRA NA BIASHARA KWA WAZAWA UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAWEKEZAJI WA KIGENI (HUSUSAN RAIA WA KICHINA)...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini...
4 Reactions
13 Replies
864 Views
Rais Samia akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU 2023/2024 Ikulu Dar es Salam Machi 27, 2025 https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt Aliyoyasema Mkurugenzi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Serikali imepanga kupeleka shilingi bilioni 335.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar...
0 Reactions
10 Replies
638 Views
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
17 Replies
909 Views
Back
Top Bottom