Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja ya mambo ambayo huwa ni ngumu kwa mwanadamu, " ni kujua muda na nyakati sahihi kwenye kutofanya au kufanya aina Fulani ya mambo. Nyakati au muda Fulani uamua kifanyike kipi na kipi...
5 Reactions
6 Replies
407 Views
Mwisho wa mwaka huo unaelekea ukingoni. Leo tutaangalia baadhi ya wanasiasa waliojitahidi kuzingatia miiko ya siasa kwa kutanguliza maslahi ya raia (wananchi) mbele bila kuzingatia maslahi yao...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kitowo Kijiji cha Mengwe Juu wilayani Rombo mh Augusta Lyakurwa kupitia Chadema amekihama chama hicho na kutimiza CCM Lyakurwa amesema Upweke ndio umemfanya ahame...
2 Reactions
27 Replies
896 Views
Ezekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video. Ili...
6 Reactions
69 Replies
3K Views
GTs, Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha? Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu kachukua fomu kugombea uenyekiti wa chama. Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe nae Leo katangaza nia ya kugombea uenyekiti. Ajabu ni kwamba wafuasi...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko...
0 Reactions
33 Replies
754 Views
MBOWE wa CHADEMA ametangaza kuendelea kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa CHADEMA. Najaribu kujiuliza... (1) Je, akikabidhiwa na wananchi kiti cha urais wa JMT kupitia chama chake atakubali...
2 Reactions
16 Replies
800 Views
Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa...
5 Reactions
18 Replies
818 Views
Kuendelea kuwa CHADEMA kuipinga CCM inayobadili Mwenyekiti wake wa Taifa kila miaka 10 wakati wangu anamiaka 21 madarakani. Je, nihamie chama gani?
4 Reactions
18 Replies
606 Views
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.? Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Je, ni kweli kwamba hotuba ilitoka CCM ndio maana ilichelewa kufika na kupelekea mkutano kuanza saa 7:19PM badala ya saa 11:00AM?
1 Reactions
6 Replies
372 Views
Mheshimiwa MBOWE ni mkomavu na mwanasiasa aliyeweka maslahi ya Taifa mbele. Sisi wafia CHADEMS hatupaswi kutekwa na propaganda za mtu aliyeweka maslahi yake mbele badala ya nchi yake ya Asili...
1 Reactions
1 Replies
252 Views
Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa...
1 Reactions
10 Replies
557 Views
Nguvu ya maridhiano ya kisiasa katika uongozi wa nchi ni kubwa na inaleta mabadiliko chanya. Ina jukumu muhimu katika kukuza umoja wa kitaifa, kuleta utulivu wa kiutawala, kiusalama, kuwezesha na...
2 Reactions
2 Replies
331 Views
  • Poll Poll
Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo...
0 Reactions
8 Replies
505 Views
watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Wakuu habari.. Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi. Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya...
12 Reactions
36 Replies
1K Views
Zitto Zuberi Kabwe Mwami! Mtu wa watu kijana mkomavu ameamua kuwa mzee angali Bado ni kijana mdogo ili kuipa nafasi demokrasia. Yeye ni Nyerere wa ACT Wazalendo muasisi wa chama mwenye umri...
5 Reactions
14 Replies
719 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…