Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lema ameandika Ukurasani kwake X Lala salama my brother Alphonce Mawazo Ameweka video clip tumejikuta Wote tunalia japo tupo Bar Yaaani Chadema 🐼🐼🐼
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa...
9 Reactions
20 Replies
871 Views
Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye...
1 Reactions
5 Replies
360 Views
Mda ndio huuu Msisubiri sijui uchaguzi ufanyike Wale mnaotoka CHADEMA hamieni CCM. Nafasi zimebaki chache Na hiii kujitoa sijui kwenye kamati flan iendane na uhamisho WA jumla Unajivua uongozi...
1 Reactions
6 Replies
276 Views
1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake...
2 Reactions
15 Replies
728 Views
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania...
1 Reactions
5 Replies
369 Views
Kizazi cha 1940-1989 hiki ndo kizazi cha hovyo kuwahi kutokea. Utawakuta akina Lipumba Mbowe Dr slaa Mkwele Jiwe Chenge Makonda Kiufupi kizazi kitakacholeta mapinduzi ni hiki cha 1990s Umu...
6 Reactions
25 Replies
818 Views
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo...
8 Reactions
16 Replies
991 Views
Nawaza tu Kuna wakati vyama 6 vya Siasa vilikuwa na Ngome Moshi Kilimanjaro lakini sasa imebakia Chadema peke yake 🐼
1 Reactions
4 Replies
286 Views
Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za...
4 Reactions
11 Replies
618 Views
Kuna hiki kitabu Honest to My Country by Candid Scope Jina ambalo ni pen-name, je kiuhalisia ni Nani? Alikuwa mwanasheria kwa mujibu wa maelezo kwenye kitabu
0 Reactions
5 Replies
365 Views
Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde. Mungu...
1 Reactions
9 Replies
566 Views
Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu...
8 Reactions
72 Replies
3K Views
Ila hii dunia ina watu Waongo jamani Yaaani mfano humjui kabisa Muhozi Mu7 kisha unatambulishwa tu direct unaanza kushusha malalamiko dhidi ya Yoweri Uongo mwingine uishiage huko huko Ufipa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona...
0 Reactions
9 Replies
427 Views
Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho. Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa...
1 Reactions
26 Replies
982 Views
Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche”...
17 Reactions
83 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…