Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Mara baada ya kuisikia CV ya Marehemu SACP Richard Abwao (RiP) ndio natambua kwa nini ni mtu mwema sana na aliyetendea haki nafasi yake. Kumbe kupoa kwa hekaheka za Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na...
0 Reactions
4 Replies
148 Views
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza na Wanahabari leo Juni 23, 2026 wakati wa kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2026/27.
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge...
3 Reactions
8 Replies
245 Views
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwa na jina ilo ni Robert Kisena Wanaomjua hebu tudadavulie Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda...
3 Reactions
282 Replies
48K Views
Wakazi wa Mbweni JKT Tunamuomba Dada Jesca Kikumbi Kufikiria Kufungua Kitambaa Cheupe Huku Kwetu Kwa miaka ya hivi karibuni, biashara ya Kitambaa Cheupe chini ya uongozi wa Dada Jesca Kikumbi...
0 Reactions
3 Replies
119 Views
Prof Assad ambae alikuwa CAG ameendelea kupigilia msumari kwamba hakuwahi kustaafu Bali aliondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyume na Katiba. Bwana Assad amesema kabla kuondolewa kwake wakati...
11 Reactions
110 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania. Rais Netumbo na ujumbe wake wameondoka nchini Juni 22...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
PRESIDENT SAMIA AND PRESIDENT NANDI-NDAITWAH wanaonekana ni marafiki na hasa kitendo cha huyu wa Naminia kuka hapa katika gross human rights abuse inayoendelea hapa. Tumueleweje? Kwamba ni...
0 Reactions
2 Replies
131 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 23, 2026 Bungeni Dodoma, amesema wakati mapambano dhidi ya rushwa yakiendelea ni vyema watu kuachana na...
1 Reactions
2 Replies
79 Views
Msidhani hatujui kuna watu tunakula nao , tunacheka nao kumbe ni wenye sumu. wanamdharau na kumbagaza Rais, wanaonesha heshima ya kinafiq wakiwa naye pembeni wanasema maneno mengi mabaya na...
4 Reactions
22 Replies
335 Views
  • Redirect
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wa vyama vya upinzani wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano na kutishia maandamano kwa kigezo cha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msikilize dada wa Polepole
1 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ametoa jibu kali la kiitikadi dhidi ya vyama vya upinzani vinavyoishutumu serikali kwa kubana demokrasia, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
137 Views
Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kanuni za Nuremberg ni mwongozo wa sheria za kimataifa ulioundwa na Tume ya Sheria ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (International Law Commission) kubainisha na kuhukumu uhalifu wa kivita na...
6 Reactions
17 Replies
259 Views
Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa kishindo Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali: Idadi ya Wabunge waliokuwepo bungeni: 393 Idadi ya Wabunge ambao hawakuwepo bungeni: 8 Kura za...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
  • Redirect
Tumeuliza makusudi ili labda tusije kushambulia Mwehu Mwaipopo ameropoka na amelindwa, swali letu ni hili, ni mzima au ni kichaa?tusije kuchuma dhambi
7 Reactions
Replies
Views
Siku moja baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu, mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Labour, Andy Burnham, ameapishwa tena kuwa Mbunge wa jimbo la Makerfield, hatua inayotajwa kuwa mwanzo wa...
2 Reactions
12 Replies
227 Views
Kumekuwepo na viwanja vidogo vya ndege airstrips na runways ndani ya mbuga ya Serengeti, ambavyo vinaendeshwa bila taratibu za kujitosheleza za kiusalama na ufuatiliaji wa kutosha. Urahisi wa...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…