Ila sasa ni afadhali Mno vile Vyama 14 Vya upinzani kwani urafiki Wao na CCM siyo wa kificho
Chadema Mchana wako Ufipa na Usiku wako Lumumba
Ndani ya Tashrif naelekea Monduli kula Christmas 😄🌹
Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe...
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda...
Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma:
Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.”
Kwa...
Ndugu wana JF,
Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa...
Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif...
Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa...
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
Nini...
Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana..
Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza...
Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.
Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya...
Mbowe alishaonyesha kila dalili ya kung'atuka.Gia imebadilika baada ya kauli tata za TL.
TL katoka Ulaya na wala hakufika ofisi za chams kwanza tuhuma kuwa hakuna maandalizi ya uchaguzi.
TL kama...
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa...
..Mashaka yangu ni hayo?
..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.
..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.
..wanajijali wao...
Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ?
Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa.
Kikawaida ? ,
Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa...
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde).
Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na...
Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe...
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae...
Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari
Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na...