Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya...
1 Reactions
12 Replies
941 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Neema ya No Reform No Election, Ambayo kwa sasa ndio Habari Kuu Nchini Tanzania, Imefika kwenye Mji wa Kihistoria Kilwa Kivinje na Kupokelewa kwa Shangwe...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
19 Reactions
278 Replies
7K Views
Ukichunguza kwa kina kuna tatizo ndani ya chama. Na hii ni kutokana na Mbowe kuwa kimya tangu akabidhi chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapongeza wahariri wa vyombo vya habari kwa kutumia taaluma yao vizuri katika kulinda, kudumisha na kuendeleza amani...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela. Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu...
0 Reactions
7 Replies
541 Views
Kaya 2,874 zimehitimu kupokea ruzuku za TASAF wilayani Chemba. Wilaya ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ambapo kaya 6,990...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu. Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi umewahi kujiuliza, ikiwa Magufuli angeishi hadi kumaliza awamu zake mbili za miaka 10 ya uraisi, angemuandaa nani ndani ya CCM ili awe mrithi wake wa kiti cha uraisi? Nimekuwa nikiwafikiria...
0 Reactions
10 Replies
668 Views
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga Katiba, nikiliangazia Bunge la JMT. Kwa mujibu wa Ibara ya 62 ya katiba, Kutakuwa na Bunge la...
2 Reactions
11 Replies
758 Views
Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi...
-1 Reactions
25 Replies
2K Views
Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini? Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?. Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya...
15 Reactions
77 Replies
3K Views
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kikao cha viongozi wa Chadema Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali leo tarehe 03 Machi 2025 katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam. Ajenda kuu...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea...
26 Reactions
126 Replies
5K Views
Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya...
1 Reactions
16 Replies
712 Views
==== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na...
29 Reactions
112 Replies
4K Views
Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama. Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote...
0 Reactions
14 Replies
859 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…