GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Tundu Lissu anatutoa tena mafichoni kwenye suala la ngorongoro badala ya kujibu hoja zake naona wana ccm wenzangu hasa lile kundi la chawa ambalo halitambuliki rasmi chamani limetokomea kusikojulikana
Waraka wa TEC kuna wabunge walikiri mbele ya kanisa hawakuelewa chochote lakini waliambiwa wapitishe makubaliano
Na hili la Ngorongoro bado wabunge hawalielewi au mpaka waraka wa TEC kuhusu ngorongoro?
Wana CCM tumjibu Tundu lissu maswali yake ,Akishajibiwa tumuache aende akajionee ukweli huko ngorongoro, Kama mambo mazuri tunaogopa kitu gani?
Je ni kweli Ngorongoro kuna waarabu?
Je, kama wapo wanafanya shughuli gani?
yenye kuzuia mikutano ya kisiasa
Je, kama wapo wana miaka mingapi eneo hilo na wazawa wa eneo hilo wanapata faida gani toka kwa waarabu?
Je, Taifa kama hao waarabu wapo tunakusanya madola ya kimarekani kiasi gani kupunguza upatikanaji wa dola nchini?
Je, Wananchi wa ngorongoro wanaishi kama gerezani hawaruhusiwi kulima wala kufuga na hata hawaruhusiwi kuagiza vyakula nje ya ngorongoro kuwashurutisha wahame?
Je, ni kweli ile zoo ya sharijah Dubai wanayama walisombwa toka Ngorongoro?
Maswali machache lakini badala ya kujibu hoja wana ccm tunatanguliza mipasho na ngonjera
Waraka wa TEC mpaka sasa unaonekana ndio ulioelimisha zaidi jamii kuliko hoja za mtu yeyote