Ndio maana ameogopa kukutana na gwiji wa siasa nchini Steven Wassira, Lissu ukiondoa sheria ambako nako ni wa kawaida sana lakini hana maarifa ya kijamii.Yeye ameng'ang'ania sheria tu mwanzo...
Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi...
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !
Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.
Sasa Ukiwa Waziri...
Kiufupi namuonea Sana huruma simuoni akitoboa na kuendelea kuwa Rais .
Hoja za Lissu ya kuwa "huruma sio malezi" inaenda kumuharibia nafasi ya yeye kuchaguliwa Kama Rais wa Tanzania.
Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli.
Ni kwamba uchaguzi utakuwepo
Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea...
Shujaa Hayati Rais John Magufuli 2020 akiwa Ikungi jimboni kwa Tundu Lissu alikiri mbele ya Wazee wa Singida kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana wao Tundu Lissu lakini alikataa,kiuhalisia...
https://youtu.be/jTqkxc2Tb1M?si=Fg9Jj9oj4OED-XMS
➡Waonywa kuwa, kama wamekula hela za CCM watazitapika maana
➡Wasema, G55 ni kitu gani mbele ya taasisi kubwa kama CHADEMA?
➡Wapewa nafasi ya...
Chama Cha ACT Wazalendo leo Jumapili Aprili 06, 2025 kimetoa msimamo wake kikitaja uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya sanjari na uchaguzi wa...
Najaribu kukumbumbuka hawa jamaa waliomletea headache mwalimu mwaka ule 1993.
Naweza kupata orodha yao na pengine wako wapi sasa? Naweza kuwakumbuka Philip Marmo na Njelu Kasaka tu.
Naomba...
Kutokana na kwamba sasa hivi tunaendelea kuwa na wingi wa Marais waliotumikia nchi yetu na wengine kufariki wakiwa madarakani, nadhani imefika wakati sasa tuwe na siku maalumu ya President's Day...
“Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa...
Baadhi ya Viongozi wa CCM wa Kata Matawi, pamoja na Wilaya wanadaiwa kugomea kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Jumuia ya Wazazi ya Chama hicho, Jimbo la Musoma Mjini, kutokana na joto la kisiasa...
Lugha ya Kiswahili Kenya na Tanzania na kuchangamkia fursa.
Leo tar 22/Agosti /2019 ,nilialikwa katika kipindi cha Radio KissFM :Mada "Kiswahili kuwa lugha ya SADC ,huku Kenya ikiaminika kutoa...
Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe...
Katika siasa za Tanzania, vyama vya CHADEMA na CCM vinaonekana kuwa na Mkazo na mitazamo tofauti kuhusu ujasiri na utii kutokana na malengo, misingi, na itikadi zao. CCM (Chama Cha Mapinduzi)...
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya...
Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe
Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa...
Rais Samia kipindi inatangazwa kwamba bwawa la Mwl Nyerere litakapokamilika bei ya umeme itashuka chini wewe ulikuwa makamu wa rais na bila shaka mlikubaliana hivyo kwenye vikao, sasa bwawa la...