Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Sep 4, 2009.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Najaribu kukumbumbuka hawa jamaa waliomletea headache mwalimu mwaka ule 1993.

  Naweza kupata orodha yao na pengine wako wapi sasa? Naweza kuwakumbuka Philip Marmo na Njelu Kasaka tu.

  Naomba msaada


  ---------------------------

   
  Last edited by a moderator: Sep 5, 2009
 2. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #2
  Sep 4, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  + Kabuye (late)
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hawa walikua wanaume washoka kwelikweli, wazo la saa ya ukombozi wwa Tanganyika walilitekeleza kwa vitendo....nafikiria je wangefanikiwa ingekuwaje? je JK angekua rais katika Jamuhuri ya watu wa Tanganyika?
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
 5. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #5
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani Tanganyika Ingekuwa kama nchi moja ya ki mfano kwa nchi zilizoendelea duniani,walikuwa na dhati ya kutupeleka sehemu nzuri kitaifa sio kama sasa tunaburuzika tu na utawala wa mjomba+mafisadi.
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Safi mkuu,

  Naomba tuitengeneze hiyo orodha upya.
  1. Njelu Kasaka
  2. Philpo Marmo
  3. P. Kabuye
  4. Generali Ulimwengu
  5.
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Jamani msiwasahau MaGodi Faza wa hawa G55, John Samuel Malecela na Horace Kolimba ambao kitendo chao ndicho kilipelekea kwa Malecela kuvuliwa Umakamu, na kisha kuandikiwa kitabu na Mwalimu Julius!

  Premji wa Kigoma nafikiri alikuwa ndani ya hiki kikundi.
   
 8. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Naomba kuelimishwa....Hili kundi si lilikuwa la Wabunge, Gen Ulimwengu aliwahi kuwa Mbunge wa Jamhuri?
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Labda alikuwa ni mwandishi wao ,ila huyu Mkuu wa sasa nae alikuwemo au leo ameshaukwaa Uraisi amesahau ule unyago waliokuwa wanataka kuucheza Mwalimu Nyerere akazipasua ngoma zote ,sasa wakizuka wepya na kuidai Tanganyika ndani ya Bunge sijui atawafanya nini.
   
 10. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2009
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Msimsahau
  Edward Ayila Oyombe (Rorya)
   
 11. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,209
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  Naona mmemsahau pia mbunge wa Kyela kipindi hicho;Mzee Lumuli Alipipi Kasyupa.

  NB;Mwandishi jenerali Ulimwengu hajawahi kuwa kwenye G55 maana hakuwahi kuwa mbunge ukiachilia mbali nafasi zake za ukuu wa Wilaya alizowahi kuzishika!
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Alishawahi kuwa mbunge wa kuteuliwa.
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  alikuwepo pia Sebastian Rukiza Kinyondo[r.i.p].
   
 14. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Huyu aliyejenga nyumba kwenye viwanja vya kuchezea watoto. Kweli tanzania inaongozwa na vipofu.
   
 15. M

  Masatu JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jenerali Ulimwengu alikuwa Mbunge wa Taifa (sheria yake ilifutwa kupisha vyama vingi) akiwakilisha kundi la vijana.

  Yes alikuwa miongoni mwa G55 members
   
 16. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  whats all this about?
   
 17. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  It is all about what it is all about!!!
   
 18. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  no wonder TINTIN thinks capt haddock is a ticking timebomb ready to implode
   
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Patrick Qorro alikuwemo pia

  JK naye naamini alikuwemo
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thousands of blistering barnacles indeed!
   
Loading...