Wakuu,
Baadhi ya Viongozi wa dini katika kata ya Kigwa wilaya ya Uyui mkoani TABORA wametaka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji katika kata hiyo waliochakuliwa katika uchaguzi wa...
I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya...
ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa...
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.
Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama...
amani iwe kwenu,
Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,
1. Je, ni kweli kwamba huyu...
Wakuu,
Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine.
Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini...
Huyu jamaa katika kipindi chote ametumikia chama chake kwa uaminifu mkubwa mno.
Anafaa kupewa nafasi nyingine tena, Namuunga Mkono na nina imani wapiga kura wenzangu wanamuunga mkono pia.
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo.
Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana...
Kuna clip mbalimbali mitandaoni wanachama wa Chadema wanadai Mbowe kashairiwa na viongozi wa dini atetee nafasi yake ya Mwenyekiti
Ndio tunauliza kashairiwa na Bakwata?
Maana Bagonza na Kitima...
Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa...
Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu.
Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania.
Hii ina madhara...
Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa...
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.
Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu...
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua...
Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi...
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi...