Wakuu,
Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!
====
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na...
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea...
Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia.
Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa.
Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
TAARIFA YA KUKAMATWA...
Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli .
Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani...
Na MWANDISHI WETU
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Bank ya Ushirika Tanzania (CoopBankTanzania), mkoani Dodoma lengo likiwa ni kufufua benki za kijamii zilizofilisika nchini...
Kwa kinywa chake mwenyewe mbele ya hadhara na kamera, Mwenyekiti wa no reforms no election, Bw. Tundu Lissu, ametangaza wazi dhamira na lengo kuu ya hiyo kampeni ni kuhamasisha maasi ya umma...
Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa...
Wakuu
Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi.
Ambapo katibu Wetu...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya...
Nimekumbuka story moja!
Elimu ndogo na ujinga mwingi ni kazi sana, Elimu Elimu Elimu R I P Ngoyai Lowasa uliona mbali!
Hakuna ukombozi bila elimu na watu kujitambua, Masikini wa kutupwa wenye...
Wana JF , Heshima kwenu!!
Moja kwa moja kwenye mada,
Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu...
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati...
“Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo...
Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!.
Wamepigwa operesheni moja tu ya...
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu...
Akiwa Bungeni leo Aprili 10, 2025, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, amehoji hatua ya Serikali kumkamata mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka itoe maelezo ya kina...
Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika...
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika.
Akizungumza na...