Mkuu wa wilaya ya Gairo, mwanamama Siriel Mchombe, Jumapili iliyopita alishangaza waumini wa Kanisa la Assemblies of God, kwa Samson, Gairo kufuatia kutoa maneno yenye kuashiria kumpigia debe mtia...
Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni...
Tanzania ipo kwenye kipindi kigumu sana kuelekea uchaguzi mkuu, ni kipindi cha dola kuwa chama cha siasa na chama cha siasa kuwa chama dola zaidi.
Naiona hofu ya uchaguzi iliyobebwa na ulimbukeni...
Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana...
- Hofu ya Wapinzani kupoteza jimbo
- Wivu wa wachache
- Hofu za wana mitandao wa muda mrefu
Wiki hii na iliyopita habari kubwa inayojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania ni uamuzi wa...
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi...
Wakuu,
Mwanasiasa maarufu nchini na aliyekuwa diwani wa Sombetini jijini Arusha kupitia CHADEMA Ally Bananga a.k.a Binamu Bananga ametia nia ya kugombea ubunge Arusha mjini kupitia CHADEMA...
TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura.
Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa...
Kuhusu kutenda haki kwa wagombea wote, Dkt. Bashiru amesema:
”Nadhani kama umemsikiliza Mwenyekiti wetu jana wakati anaapisha baadhi ya viongozi, alisema yeye kama mwenyekiti wa chama hana...
Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!
Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu...
Hizi ni zama za teknolojia mambo yanapaswa kwenda kwa haraka.
Mgombea urais wa JMT mh Benard Membe wa ACT Wazalendo leo amerejesha fomu zake baada ya kuzijaza na kudhaminiwa kwa mujibu wa katiba...
Katika hili sakata la kukemea tamaa za madaraka wanalokemewa wanaotaka Ubunge, hasa Makonda na wengine, hawa kina Bashiru na Polepole wamekuwa mbele mno hadi kusema wanayoyasema. Ndo Mwenyekiti...
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae...
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za...
Naona watu wamemchoka Lusinde ! Darasa la 4 muda aliochuma unamtosha. Hizi siyo zama za Mbunge kutukana , kuleta porojo na kuchekesha watu Bungeni badala ya kudeal na mambo yanayowagusa wanaMtera...
Kwa tathimini ya haraka ndugu Aboubakari Abdalah Juma ndiye mgombea amenikonga moyo wangu.
Amenikonga moyo kwa kuonesha yeye ni kiongozi thabiti. Hasa kwa namna alivyoungwa mkono na familia yake...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole ataongea na waandishi wa habari kuanzia saa 10.00 jioni.
Kikubwa ni nidhamu ya kuzingatiwa kwa watia nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa...
Kasi imekuwa ni kubwa mno na wagombea ni wengi kuliko ilivyotarajiwa kwa upande wa CCM.
Ikumbukwe kuwa Mzee Cheyo aliomba mbele ya Mwenyekiti wa CCM kwamba waachiwe majimbo mawili au matatu...
Inasikitisha saana kuona Mh Rais anapinga Rushwa ila Watendaji wake hawana habari ndani ya uchaguzi huu kura za Maoni mkoa wa Mtwara rushwa iko nje nje kila pahala PCCB wapo na vyombo vipo ila...
Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.