Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia umekosea sana kutoa msamaha kwa wahalifu wa October 29. Unadhani utapendwa na watu wote? Unadhani wapinzani watabadili mtizamo wao juu yako? Wewe ndiye uliwapa kupumua wapinzani baada...
4 Reactions
28 Replies
791 Views
Ukienda msibani kwa Lukuvi, wameweka bango lenye maneno ya kwenye Bibilia kutoka 2 Timotheo 4:7 "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda" Wazee wa zamani naomba...
12 Reactions
39 Replies
645 Views
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO. Pili...
77 Reactions
111 Replies
9K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi ametoa onyo kali kwa watu wanaochochea vurugu nchini, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo...
2 Reactions
4 Replies
74 Views
My Take Kwa navyomjua Rais Samia hatiweka kabatini haya mapendekezo ya kimageuzi kama watangulizi wake. Tume ya rais imependekeza mageuzi makubwa 284 ya kubadili mfumo wa kodi wa taifa...
2 Reactions
40 Replies
412 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi hiki ambacho Dunia inashuhudia misuguano na machafuko katika maeneo mbalimbali ambayo yanapelekea kupanda...
2 Reactions
11 Replies
156 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa...
0 Reactions
11 Replies
148 Views
Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu...
1 Reactions
9 Replies
145 Views
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia...
15 Reactions
26 Replies
587 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa limempoteza William Lukuvi katika kipindi kigumu ambacho dunia inakabiliwa na migogoro inayoweza kuathiri uchumi na kupandisha bei za bidhaa. Akizungumza...
2 Reactions
16 Replies
196 Views
Wakuu, Chawa nao hufa banaaa! Nacheka lakini naogopa (kwa sauti ya Bambo). Mmeua halafu mnataka mtamalaki? Mi nawaletea TBT tu Wakuu wangu, team chawa tuje na povu kwa step nguo zangu zote...
5 Reactions
18 Replies
260 Views
Kenani Kihongosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, amesema kuwa mara nyingi amani inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji...
1 Reactions
8 Replies
143 Views
Hasira dhidi ya wote walioshiriki na hata walioshabikia umwagaji damu siku za Uchaguzi alimaarufu Mo29 bado ingali ikigonga mioyo ya watu wengi nchini! Kwa mazingira ya kibinadamu, kwa namna...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
3 Reactions
7 Replies
136 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote...
2 Reactions
23 Replies
256 Views
Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954. Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake? Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo. CCM wampumzishe huyu mzee kabla...
10 Reactions
42 Replies
786 Views
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kumteua Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi Maalum wa AU kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu. Mwenyekiti wa Tume ya AU...
1 Reactions
16 Replies
202 Views
Ndugu yangu Mtanzania, Habari Ni kama inavyosomeka =========== Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata...
2 Reactions
27 Replies
742 Views
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
16 Reactions
157 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…