Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya...
-2 Reactions
12 Replies
738 Views
"Katiba ndio imempa mamlaka hayo, Rais. Na nchi zote duniani Mkurugenzi wa uchaguzi, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lazima awe nominated na kuteuliwa na Rais" "Utaratibu huo ndio upo kwenye...
0 Reactions
11 Replies
631 Views
Kitakachotokea baada ya October 2025 kitakuwa hatari zaidi ya kilichotokea 2015 . Huu Uzi utakumbukwa na watu wote CCM inapambana kuua vyama Vya upinzani huku ikitengeneza upinzani . Yaani...
2 Reactions
10 Replies
569 Views
Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni na Waziri wa ardhi wa zamani, John Chiligati amesema kuwa kwa sasa kuna tabia za rushwa zinaedelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuongeza kuwa pamoja na Rais...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi. Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi...
23 Reactions
171 Replies
10K Views
Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya...
4 Reactions
10 Replies
550 Views
Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba...
5 Reactions
113 Replies
5K Views
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman...
1 Reactions
8 Replies
882 Views
Habari GT. WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA; 1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume 2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif 3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA. Ama hakika kama kuna jambo ambalo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi...
0 Reactions
5 Replies
460 Views
SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba...
3 Reactions
129 Replies
5K Views
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao. Tayari wamegawana mbao,
18 Reactions
122 Replies
3K Views
RAIS SAMIA AWAONYA MAKHULUKUTABU WA NCHI, MJIPANGE HATUTAVUMILIA "Wanaojiandaa na machafuko wasisahau mapito waliyopita. Ni falsafa hii ndiyo iliyowapa ruhusu ya kurudi hapa nchini, tukafumbia...
6 Reactions
124 Replies
6K Views
09 April 2025 MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w TLS ni mshauri wa umma people's power wakati...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Huwezi ukaudanganya umma siku zote. Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa...
0 Reactions
16 Replies
876 Views
Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…