Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni. Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni. Manaibu waziri pia woote, yaani wote...
10 Reactions
139 Replies
17K Views
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni...
12 Reactions
38 Replies
7K Views
Paul Makonda amesema haya... “Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu”...
14 Reactions
203 Replies
27K Views
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa Oktoba utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo. Baada ya Waitara kuongoza...
5 Reactions
115 Replies
13K Views
Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge? Naomba mwaka huu iwe hivyo
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa Raisi JPM kajitahidi sana kuleta maendeleo ya miundombinu kama barabara, madaraja, reli, ndege na viwanja vya ndege n.k. LAKINI ametumia robo ya nguvu aliyoiweka kwenye...
1 Reactions
1 Replies
734 Views
Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu...
6 Reactions
60 Replies
7K Views
Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao! Sasa kuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Walioshinda kwa kishindo wachunguzwe, majimbo ya Mtwara Vijijini na Nanyumbu. Mbinu ya kuwaandaa vijana maalumu ili wawasaidie wasiojua kusoma na kuandika imewapa ushindi wasiostahili. Chama Cha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa. Wengi waliopata...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi...
7 Reactions
68 Replies
12K Views
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo. Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama...
8 Reactions
107 Replies
7K Views
Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake. Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Nimejiandaa kuwania Ubunge jimbo la Temeke Jijini Dar es Salaam, kupitia Chama cha MAGEUZI na Ujenzi wa Taifa. NCCR-Mageuzi.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban...
62 Reactions
217 Replies
26K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020. Aidha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa...
12 Reactions
80 Replies
12K Views
Back
Top Bottom