Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.

Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.

Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.

June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.

Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.

Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.
 
Kwanini tusimjaribu Mtoro Darabu Nyange? Kijana mchapakazai na anaijua pia mifumo ya kiserikali kwani naye ni mtumishi wa umma akiwa katika sekta ya elimu. Hatutapoteza
 
..chagueni wabunge wengi toka upinzani.

..wabunge wa ccm wana jeuri na kiburi cha dola, na wanapofika bungeni wanatetea serikali badala ya wananchi.

..pia kusiwe na chama ambacho kina clear majority.

..pasiwepo na chama kinachoweza kupitisha mswada au bajeti bila kuungwa mkono na chama kingine.
 
Bora umesema kijana anafaa. Hao wazee tushawapa sana nafas na wamezichezea. Tupo na hazina ya kutosha ya vijana. Wazee inatosha Sasa. Kwangu Mimi Mtoro Darabu Nyange anafaa. Pia wapo vijana wengine makini Kama Justin Maganga na Gabriel Hango. Wazee kwa sasa Big No
Kwanini tusimjaribu Mtoro Darabu Nyange? Kijana mchapakazai na anaijua pia mifumo ya kiserikali kwani naye ni mtumishi wa umma akiwa katika sekta ya elimu. Hatutapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu huwa wana shida ya kutamka F pale keen Fussi, huwa wanatumia zaidi V sound sijui sababu.
 
Mwisho wa siku serikali ndio muamuzi wa maisha ya watu wake, mbunge anaweza akaomba barabara lakini serikali ikamletea vituo vya afya, so sio ishu ya ni nini mbunge ameomba bali ni nini serikali inataka iwafanyie watu wake.

Mbunge anaweza akapiga kelele weeeee lakini waaapi. So mtu akiniambia mchague mbunge huyu kwani huyu aliyopo hafai, huwa namshangaa tu, nguvu ielekezwe kwenye urais, kama aliyopo anafaa basi aachwe, hafai wapinzani wekeni nguvu zenu kwenye urais.
 
..chagueni wabunge wengi toka upinzani.

..wabunge wa ccm wana jeuri na kiburi cha dola, na wanapofika bungeni wanatetea serikali badala ya wananchi.

..pia kusiwe na chama ambacho kina clear majority.

..pasiwepo na chama kinachoweza kupitisha mswada au bajeti bila kuungwa mkono na chama kingine.
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Pia the IQ index na the poverty level ya jimbo la Mpwapwa ni watu wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea, hivyo mkoa mzima wa Dodoma full of Matonyas hawawezi chagua upinzani.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P
 
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.

Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.

Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.

June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.

Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.

Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.

Nani kakuambia maendeleo yanaletwa na mitifuano na kukamiana?
Maendeleo yanaletwa ni Mipango iliyopangwa vizuri ikawekwa kwenye utekelezaji.
Wewe nawe hujui kazi za mbunge kama huyo unayemtuhumu
 
Nakuunga mkono mkuu, kwa maeneo ya Dodoma mtu hata akiwa mzuri vip Kama hatagombea kwa tiketi ya CCM hawezi kuchaguliwa wala asipoteze muda. Muone Benson kigaila mzawa kule kibakwe. Vijana wa pale kibakwe Kati wanamkubali sana ila watu wazima na wote wa pembezoni ni CCM pure ndio maana kigaila kapashindwa.

Mwaka 2015 akajaribu Dodoma Mjini lakini hali ni ile ile. kigaila alitumia nguvu nyingi sana na kiukweli anajua kuongea na ana sumu za hatari sana na bado alishindwa.Kimsingi ukanda wa Dodoma uchaguzi huishia kwenye kura za maoni ndani ya CCM, ukishapita hapo hata ukilala usifanye kampeni bado utashinda tu.

Kuna Kuna kiongozi mzuri ana ndoto za ubunge mkoa wa Dodoma lazima aangalie vyema usafiri utakaomfikisha
Mkuu Joka Kuu, trends za the political dynamics ya siasa zetu kuelekea 2020, zinaelekeza CCM ndio mpango mzima.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Pia the IQ index na the poverty level ya jimbo la Mpwapwa ni watu wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea, hivyo mkoa mzima wa Dodoma full of Matonyas hawawezi chagua upinzani.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? - JamiiForums
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje.

Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri ubunge ni kuuliza maswali tu na kurudi jimboni kuanza kununulia watu ujugu.

Sasa tunatalajia kupata mbunge ambaye anaweza kuwapiku wabunge wote waliopita huyu Mama June Fussi sasa tunaona anafaa kuwa mbunge wetu kwa kipindi hiki cha sasa ambacho mapambano bungeni ni makali sana.

June Fussi ana uwezo wa kuwa msumbufu kwa makatibu wakuu wa wizara ambao ndio wenye mafungu hasa kipindi hiki baada ya mnvua njingi madaraja mengi yamekatika kwa hiyo mtifuano wa kutaka yajengwe bunge lijalo utakuwa ni mkubwa sana, June Fussi ana uwezo wa kuhimili mpambano huo hatuna shaka naye kabisa.

Juni Fussi ni mfanyakazi mwandamizi serikali ana uzoefu wote wa kujua serikali inafanyaje kazi pia ni mkazi wa Mpwapwa eneo la Mwanakianga kwa hiyo matatizo ya Mpwapwa anayajua vilivyo ni mpamabanaji mzoefu kwani katika ajira serikalini kaanzia kama Afisa UGANI ngazi ya kata hadi kuwa mwandamizi katika wizara ya Mifugo na Uvuzi masuala ya utafiti mwenye elimu ya Masters Degree, hakika wana jimbo la Mpwapwa tukimchagua June Fussi tutakuwa tumelemba dume.

Safari hii tusifanye makosa ya kuchagua wanaume tena tuchague mwanamke ambae atakomaa na matatizo yetu.
Muda WA kampeni bado

It's either umehongwa au unataka kumharibia

Na hasa ukizingatia Kwamba yeye ni afisa mwandamizi serikalini

Kauli zako zinamchimbia kaburi
 
Back
Top Bottom