Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala...
5 Reactions
16 Replies
935 Views
Ukiwasikiliza kwa umakini mkubwa wafuasi wa G55 utagundua wanamuhujumu sana Tundu Lisu Chadema ni Mali ya umma G55 acheni ujinga Msamaha wa dhambi tuliupata Kalvari Nawatakia Alhamis ya Amri...
2 Reactions
16 Replies
715 Views
RC CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA -Afafanua maboresho makubwa ya miundombinu ya barabara na miradi ya kimkakati -Awataka wananchi kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Simbachawene Aijibu 'No Reform' ya CHADEMA: Tumeunda Tume Huru, Tukianza Heka Heka Hakuna Atakayebaki. Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mgombea wetu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi. Ameendelea kuchanja Mbuga na kupata mapokezi makubwa na heshima maeneo...
8 Reactions
112 Replies
7K Views
Wasalaam Pamoja na kauli hizi za kukiri kuuwa watu sijasikia jeshi letu la police likichukua hatua
2 Reactions
6 Replies
531 Views
Hili la kusaini fomu ya maadili ya uchaguzi wengi wetu tumelisikia ghafla mwaka huu baada ya Lissu kukamatwa, lakini inawezekana pia kuwa katiba ya nchi inasema asiyesaini hiyo fomu hata ruhusiwa...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano. Wasira ametoa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana. Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na...
17 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa. Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na chama hicho...
1 Reactions
10 Replies
718 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naona Zambarau Ikineemesha vizuri kabisa Kijani hapo Juu Baada ya CDM kususia Uchaguzi?
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge Ameeleza viongozi...
2 Reactions
7 Replies
664 Views
Denis Itumbi ndiye Mshauri mkuu wa Ubunifu wa Miradi mikubwa na Mipango ya Uchumi wa Rais Ruto Sijajua kwa Tanzania Msanii gani anaweza kumudu cheo hicho 😁 Mlale unono
3 Reactions
27 Replies
1K Views
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Wanabodi, Vuguvugu la no reforms, no elections linaweza kuitikisa nchi na kuipeleka pabaya endapo hatutakuwa waangalifu. Katikati ya hulka na mihemko hii ya kisiasa, ni vyema kuwa na mtazamo...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025 https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi...
10 Reactions
160 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…