Kuna dhana ya uzushi iliyojaa uwongo, kuwa viongozi wa CHADEMA huwa hawakai mbele wakati wa harakati za chama hicho kama vile maandamano.
Lakini ushahidi upo kuwa mara zote wakati wa maandamano...
Heshima sana wanajamvi.
Nijikite katika mada moja kwa moja.
Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa.
Awamu ya sita inaongozwa na...
Wakati umefika tuache UNAFIKI.
Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki.
Ikiwa...
Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa...
Toka naanza kufuatilia siasa miaka ile CCM wamekuwa wanatutisha kuwa tukichagua upinzani kutatokea machafuko
Kuwa wao CCM ndo wanaoilinda amani ya nchi hii, upinzani hawawezi kuilinda aman, lkn...
Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya...
-----Update-------
Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa...
Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika...
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.
Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la...
CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema kuwa hali ya uchumi wa taifa haiwezi kupimwa kwa kuangalia thamani ya sarafu pekee, bali...
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah...
Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania.
Kipindi...
Tangu nianze kupiga kura 2010 sijaona uchaguzi ulipoa kama huu.
Wapiga kura wa CCM wapo relaxed wana uhakika na matokeo hata wasipopiga kura.
wapiga kura wa vyama pinzani hawana imani kabisa na...
๐๐พ๐๐พBEACH PLOT โฑ๏ธ FOR SALE
๐๐พA Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.*
๐๐พNice sea view and Beach.
๐๐พThe Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun ๐๐ Set Beach...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters...
๐๐พ๐๐พBEACH PLOT โฑ๏ธ FOR SALE
๐๐พA Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.*
๐๐พNice sea view and Beach.
๐๐พThe Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun ๐๐ Set Beach...
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona...