Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Mchawi aliyeiroga Tanzania alikwishafariki miaka mingi mara baada ya kupata uhuru na madhara yake yanaendelea kiliathiri Taifa!
4 Reactions
6 Replies
441 Views
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Nchi yetu inahitaji ukombozi kamili ili tuweze kuendelea. Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa( Vyama vya Upinzani) wamekuwa mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii. Niwaombe sana tena...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Mwamba apewe; 1. Hadhi ya Ubalozi, 2. Ateuliwe Ubunge [viti maalum], 3. Apewe Uwaziri hata kwa siku chache tu, hili litainua CV yake huko WHO. **Vinginevyo mchuano ni mkali na kule huwezi kuiba...
4 Reactions
17 Replies
962 Views
Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi. Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama...
1 Reactions
6 Replies
424 Views
(1) Wengi wanadhani Tundu Lissu anapopinga “siasa za kupeana” anakataa tu mfumo wa CCM. Lakini kwa undani, Lissu anapaza sauti ya mabadiliko ya kweli — mabadiliko ambayo hata CCM wangenufaika nayo...
2 Reactions
6 Replies
385 Views
Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu, ametoa pongezi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa (MB), kwa namna ambavyo amekuwa mstari wa mbele katika...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya...
0 Reactions
1 Replies
305 Views
Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili...
3 Reactions
12 Replies
896 Views
Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya...
5 Reactions
16 Replies
761 Views
Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…