Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc...
23 Reactions
77 Replies
1K Views
Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa...
4 Reactions
19 Replies
321 Views
Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa? Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki...
3 Reactions
6 Replies
138 Views
Makamu Mwenyekiti wa Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, John Heche, wakati akizungumza na umati wa wanannchi katika mkutano wa hadhara Mkoa wa Mbeya Juni 23, 2026, alieleza kuhusu kesi...
1 Reactions
0 Replies
114 Views
Nashindwa kuingia mpaka niwashe VPN au ni wenge langu tu?
3 Reactions
17 Replies
163 Views
Wakuu, Nadhani wengi wenu mmeona au kusikia taarifa za mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na Sheikh Said Mwaipopo mnamo Juni 20, 2026, kuelekea maandamano yaliyopangwa ya tarehe 7 Julai...
11 Reactions
33 Replies
659 Views
Manispaa ya Temeke pamoja na mambo mengine inakusanya ushuru unaoitwa Service Levy kwa Wafanyabiasha karibu wote wenye leseni za biashara, Yaani Pamoja na kulipia leseni mjasiriamali anatakiwa pia...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya. Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi...
8 Reactions
30 Replies
599 Views
Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za...
4 Reactions
7 Replies
324 Views
Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili...
2 Reactions
14 Replies
272 Views
The United States Senate Foreign Relations Committee has officially advanced the bipartisan bill seeking to impose severe sanctions on government officials responsible for the deadly violence that...
19 Reactions
84 Replies
1K Views
  • Featured
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia...
7 Reactions
87 Replies
3K Views
"Naitwa Goodluck Loth Mwakisiala, ni mkazi wa King’azi A. Sisi huku kwetu tumevamiwa usiku wa jana na watu ambao wanasadikiwa kuwa ni askari, lakini sisi hatuna taarifa na ujio wa hao askari...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Hamjambo! Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano. Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo? Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano...
15 Reactions
278 Replies
3K Views
Unaambiwa walioongoza kwa kuchangia ni Madereva wa Malori Dereva Mmoja Akihojiwa na Media ya Erythrocyte.com amekiri kuchangia Kapu la Chadema Tshs laki 3 unusu tasilimu, huku Madereva wengine...
20 Reactions
30 Replies
761 Views
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Huyu bwana hajamaliza hata mwezi kazini tayari anashambulia wanasiasa. Prof.Assad amehojiwa na idhaa ya Kiswahili ya UN, na kutoa madai kwamba Tanzania kuna tatizo la "POLITICAL...
80 Reactions
801 Replies
153K Views
MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege...
51 Reactions
361 Replies
54K Views
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7. Miongoni mwa Video...
0 Reactions
7 Replies
214 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…