Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herieth Ngonde amedai kushambuliwa na Diwani wa kata hiyo aliyetambulika kwa Frank Mwananziche kwa kupigwa wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Tukimudu kuwa tunawapa dozi baadhi ya viongozi wanafikitutaisaidia nchi na kuwafanya wanafiki kuelewa ya kuwa Mafukaranawatumishi wa ummanao ni watanzaniahawapendi kuchukuliwa hatuapekee yao huku...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Wakuu, Kuna yeyote amemuona Mwenyekiti wa CHADEMA aliyepita, Freeman Mbowe kapost chochote kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Nimetoka kwenye akaunti zake huko X na Instagram naona...
13 Reactions
111 Replies
5K Views
TUJISOMEE, TUJUWE MIFUMO ILI TUNAPOJENGA HOJA ZIWE NI HOJA ZENYE MASHIKO Ninakumbuka Tarehe 31/03/2025, Profesa Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Akiwa...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Naona kama sasa hatuna tena mvuto wala hoja. Maana kitendo cha Mnyika kutoenda kusign makubaliano na sisi sasa maana yake hatutagombea Ubunge wala Udiwani. Hii imekaaje? Maana naona waliokuwa...
39 Reactions
164 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba. "Tumegundua wazi watu...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali. Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Katika kujenga hoja yangu naomba nitoe mfano mdogo. Juzi Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitoa tamko la kuifuta Chadema katika uchaguzi. Tume hiyo inaongozwa na wanasheria na wataalamu mbalimbali...
5 Reactions
18 Replies
892 Views
Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki. Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU ILA WANATAKA VYEO KWA SABABU GANI !?!? KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU. Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Kabla ya kutunga kanuni ndani ya ssem lazima kukaa na kufikiri tujiepushe na uvunjifu wa katiba ya CCM na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukilazimisha kwa maslahi binafsi kupitisha...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais. Kwanini? Kwasababu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Wakuu, Machi 7 Amos Makalla alisema CCM kwenye kikao cha ndani ilifanya marekebisho makubwa mawili katika mchakato wa uteuzi. Kwanza, kutakuwa na uchujaji wa wagombea kabla ya kura za maoni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Daima huwa nnawalaumu Sana Wana Chadema kwakuwa wabwatukaji, na watu wa maneno ya fedheha na dhihaka Huku wakikosa kabisa kuwa watu wenye kutoa hoja na kusimama hoja zao. Hiki ni kilema serious...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…