Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais. Kwanini? Kwasababu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Wakuu, Machi 7 Amos Makalla alisema CCM kwenye kikao cha ndani ilifanya marekebisho makubwa mawili katika mchakato wa uteuzi. Kwanza, kutakuwa na uchujaji wa wagombea kabla ya kura za maoni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye wa waandishi wa habari, Rugemaliza Nshala amekemea kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima kuhusu CHADEMA kukosa sifa za kushiriki Uchaguzi...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Daima huwa nnawalaumu Sana Wana Chadema kwakuwa wabwatukaji, na watu wa maneno ya fedheha na dhihaka Huku wakikosa kabisa kuwa watu wenye kutoa hoja na kusimama hoja zao. Hiki ni kilema serious...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu...
0 Reactions
6 Replies
405 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameendelea kuchanja Mbuga Barani Afrika katika kuwasilisha ujumbe wa Rais Wetu Mpendwa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku ▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao ▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji...
0 Reactions
6 Replies
575 Views
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani. Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni...
21 Reactions
46 Replies
3K Views
Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi...
15 Reactions
66 Replies
3K Views
Hii ni Taarifa "halali" iliyotolewa Bungeni na Mtukufu Mchengerwa, Ambaye ni Waziri wa Tamisemi. Baadhi ya Wagombea walioondolewa kwa kutokujua kuandika wamo kadhaa wenye Digrii za Chuo kikuu...
3 Reactions
8 Replies
563 Views
Nimeangalia kwa mfano makundi mawili ndani ya ODM yalivyo yote yamesheheni Wasomi moja likiwa na akina James Orengo, Sifuna nk na lingine likiwa na Raila mwenyewe na wale mawaziri waliokodishwa na...
5 Reactions
21 Replies
890 Views
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais...
1 Reactions
6 Replies
515 Views
DODOMA - Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara imetenga fungu katika Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa ajili ya kuhamasisha elimu ya mlipa kodi akiwataka Simba kutumia fursa hiyo.
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya Urais...
1 Reactions
5 Replies
755 Views
Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa...
21 Reactions
55 Replies
4K Views
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa...
1 Reactions
10 Replies
838 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…