Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya...
6 Reactions
180 Replies
6K Views
Dkt slaa amesisitiza maadili sio maneno wala maandishi,Maadili ni matendo Aidha Dkt Slaa amesisitiza misimamo ya wananchi juu ya mabadiliko ipo mioyoni mwao huwezi kuiondoa maono ya mioyo ya watu...
19 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari hii iwafikie CCM na mapandikizi yao yote kuanzia G55, Covid 19, Wale waliofungua kesi Wazanzibar, ACT Wazalendo na Madalali wote wa kisiasa. Leo hii Television maarufu ya EATV imewauliza...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's. 2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kumekua na uanzishwaji wa taasisi mbalimbali za dini ambazo lengo lao limekua la awali lilikua kusamabaza neno la Mungu kwa ustaarabu bila mhemko sasa wamekwenda mbali zaidi na kuanza kuingilia...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua. Asije akathubutu hata...
17 Reactions
63 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare aka PRISON GRADUATE ametoa makala yake ya kwanza iitwayo "MREJESHO KUTOKA MAHABUSU" Sina budi kumshukuru sana mwenyenzi Mungu kwa kunitendea mema na...
67 Reactions
141 Replies
19K Views
Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
25 Reactions
62 Replies
4K Views
Nimesoma kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa utagharimu dola za kimarekani 272 Millioni. Details zinaonyesha kuwa uwanja utakuwa na uwezo wa kupitisha watu Milioni moja tu kwa mwaka (1,000,000...
7 Reactions
84 Replies
57K Views
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu...
56 Reactions
226 Replies
9K Views
Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello! Muda ulikuwa mchache kwa Lissu kuifikia nchi nzima kupeleka ushawishi wa No reforms no Election, sasa jukumu Hilo rasmi limechukuliwa na polisi wetu kwa kumkamata Tundu lissu. Hivi sasa...
18 Reactions
61 Replies
3K Views
Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Popote utakapotembelea mitandaoni iwe twita au ama Instagram ya maria utagundua ndie mwanzilishi wa vuguvugu zote za chadema ! Hata wakati wa uchaguzi maria alitumia mtandao wa x kumbagaza sana...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala...
5 Reactions
16 Replies
935 Views
Ukiwasikiliza kwa umakini mkubwa wafuasi wa G55 utagundua wanamuhujumu sana Tundu Lisu Chadema ni Mali ya umma G55 acheni ujinga Msamaha wa dhambi tuliupata Kalvari Nawatakia Alhamis ya Amri...
2 Reactions
16 Replies
715 Views
RC CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA -Afafanua maboresho makubwa ya miundombinu ya barabara na miradi ya kimkakati -Awataka wananchi kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Simbachawene Aijibu 'No Reform' ya CHADEMA: Tumeunda Tume Huru, Tukianza Heka Heka Hakuna Atakayebaki. Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mgombea wetu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika Mheshimiwa Profesa Mohammedi Janabi. Ameendelea kuchanja Mbuga na kupata mapokezi makubwa na heshima maeneo...
8 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…