Serikali iangalie upya usajili wa taasisi za dini nchini

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Kumekua na uanzishwaji wa taasisi mbalimbali za dini ambazo lengo lao limekua la awali lilikua kusamabaza neno la Mungu kwa ustaarabu bila mhemko sasa wamekwenda mbali zaidi na kuanza kuingilia siasa na kuchanganya na imani zisizofaa,taasisi kama FGBF la Askofu Zacharia Kakobe, Kanisa la Uzima na Ufufuo la Askofu Gwajima, kanisa la mtume Mwingira, kanisa la mtume Nabii 'Bulldozer ,'Kanisa la Anthony lusekelo, taasisi ya kiislamu ya Uamsho, Wajahidina na Answar sunna na taasisi ya African Muslim Agency hapa nchini Tanzania Muslim Agency
 
Imani/dini za watu unasema ni za hovyo hovyo...!!!? Sisiem mbona mnalewa hivyo madaraka!?
 
Kumekua na uanzishwaji wa taasisi mbalimbali za dini ambazo lengo lao limekua la awali lilikua kusamabaza neno la Mungu kwa ustaarabu bila mhemko sasa wamekwenda mbali zaidi na kuanza kuingilia siasa na kuchanganya na imani zisizofaa,taasisi kama FGBF la Askofu Zacharia Kakobe, Kanisa la Uzima na Ufufuo la Askofu Gwajima, kanisa la mtume Mwingira, kanisa la mtume Nabii 'Bulldozer ,'Kanisa la Anthony lusekelo, taasisi ya kiislamu ya Uamsho, Wajahidina na Answar sunna na taasisi ya African Muslim Agency hapa nchini Tanzania Muslim Agency
Kwa hisani ya kagame???
 
Ulizia France, walipoamua kuishi bila dini kilitokea nini
 
nijuze Mkuu, dini kuu zipo Mbili Roman Catholic na Muslim wakazaa matawi halali Anglican na Lutheran. wakifuata maadili ya Roma kwa mkondo huo na Muslim kwa mkondo wao bax
 
Wenyewe wakiwasha moto nakimbilia shambani Viwanja sitini ifakara hadi Mtimbira breki ya mwisho Chita kwa mzee Mbyatu
 
Role model wenu vijana wa Eagle wing
Igo wingi ndio nn tena nipo mtimbira nakula pepeta na njuji huku we unanitukana aisee niache nilime bana hamkawii kunishika nyie niacheni niendekeze kilimo ndio uti wa mgongo nyie kaeni kwenye fiyoyozi wajameni
 
Back
Top Bottom