Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ? Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four . Je elimu Ina mchango gani.?
1 Reactions
9 Replies
393 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Tumeshuhudia kesi nyingi kabla hata ya Lissu za uhaini kwa wanasiasa wa upinzani pekee, mwisho wa siku kunakuwa kumbe hakuna kesi yoyote wala hatuoni chochote Jambo hili limekuwa kama mchezo wa...
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia...
0 Reactions
3 Replies
342 Views
Hello! Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena. Kama Lissu...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika...
3 Reactions
14 Replies
866 Views
Utekaji nyara ni kitendo cha kumchukua mtu na kumpeleka sehemu flani isiyojulikana, hivyo ni wazi kusema Lissu ametekwa. Kwa kitendo cha kuchukuliwa kwa Lissu gerezani na kupelekwa sehemu...
4 Reactions
9 Replies
809 Views
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye...
8 Reactions
242 Replies
11K Views
Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya. Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
https://youtu.be/EjzqLZbmJto?si=ZMWXt4D1JRAGS8C_ Hizi ni rasharasha kuelekea Tamko kuu la Kanisa
15 Reactions
50 Replies
2K Views
MAABARA ZA KUCHUKUA WANAFUNZI 1000 KUJENGWA MuCE Wizara ya Elimu kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), inaendelea kuwekeza katika miundombinu mipya katika Chuo Kikuu...
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Mrema- agent Cheyo-agent Lipumba-agent Slaa-agent Mbowe-agent Safari-agent Baregu-agent Zitto-agent Bulaya-agent Mdee-agent Seif-agent Kafulila-agent Katambi-agent Mashiji-agent Yeriko-agent...
4 Reactions
10 Replies
750 Views
Wakuu, Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado...
8 Reactions
136 Replies
6K Views
Kesi ya jinai nambari 11805 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa ilisikilizwa juzi, Jumanne, Aprili 12, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya cross...
28 Reactions
85 Replies
6K Views
Baada ya Bunge kupitisha bajet nitakutana na wataalam wa Sheria, kikubwa nikuanIsha upya mchakato wa mabadiliko. Na ili mchakato huu uwe uhuru Bunge la sasa litapitisha mabadiliko madogo ya katiba...
2 Reactions
1 Replies
362 Views
Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki Jimbo la Vunjo, Jonas Mawala ameweka wazi kuwa ahadi nyingi walizo ahidi kwa kushirikiana na mbunge wa jimbo hilo Dk.Charles Kimei wamezitekeleza na hakuna...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…