Tuwe wakweli ndugu zangu, kazi ya kujenga taasisi na ikasimama vizuri ni ngumu sana, na inahitaji ustahimilivu, weledi, maarifa, hekima na busara za kiwango cha juu sana kuiendeleza.
Tundu Lisu...
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana Uwanja wa Ndege wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege...
Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa
ameagiza shule zote nchini za msingi na sekondari kila ifikapo Aprili kuwa na 'Wiki ya Muungano'...
Ni wazi CHADEMA inaelekea kupotea kwanye medani ya siasa za Tanzania ikiwa katika hali ngumu, baya na dhaifu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa baada ya kukosa kabisa agenda hata moja ya...
Salaam kwako Tundu Lissu uko Gerezani ulipo,Sera yako au yenu Chadema imenifanya nirudie kusoma Mwalimu Julius Nyerere Epilogue of his collective work inayojulikana kama Uhuru na Umoja ili kuweza...
Akabidhi Saruji mifuko 150, jezi, mipira, nyavu, shuka na kitanda kwa zahanati, magodoro 30.
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma katika ziara yake Jana...
Wapo Wana CCM wachache wanaoamini katika Utu na kushindana Kwa Hoja Yakinifu zama hizi, Walio wengi wamejaa hila, uchu wa Madaraka, wizi na mipango ya kufiisha watu wanao tofautiana Kwa Hoja...
https://www.youtube.com/watch?v=23-o0syH4ws
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Dkt Tulia Ackson Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia ambaye anataka kutujengea kawe yetu ibadilike.
Kupata matukio na...
**“If you hold a gun and I hold a gun, we can talk about law.
If you hold a knife and I hold a knife, we can talk about rules.
If you come empty-handed and I come empty-handed, we can talk about...
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada...
Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki...
https://www.jamiiforums.com/threads/cha-kijifunza-kwa-https://www.jamiiforums.com/threads/cha-kijifunza-kwa-hilda.2333497/post-53597106
Post #4.
Kwenye uzi huu
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo...
Wapendwa wa jukwaa letu pendwa la JF, where we dare to talk openly; kutokana na kilichotokea kisutu na viunga vya Dar es salaam tarehe 24/04/2025, ambapo najua wasomi na wafatiliaji wa mambo humu...