"Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye...
Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na...
Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza...
Pamoja na Raisi Samia mwenyewe. Hawa ni watu walio kula kiapo kwa nchi lakini wamekuwa machawa. Historia yetu itawahukumu kwa udhaifu wa nchi na mifumo yetu.
Mahakama
Bunge
Jeshi la polisi
Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza...
"Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mageuzi makubwa ya Mipango na Uwekezaji katika Taifa letu. Rais Samia ameamua kutokuogopa na kusimama kwa utulivu katika kusikiliza wataalamu...
"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"
"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"
"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe...
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja...
Hivi hata kama Watanzania ni Wajinga na Mbumbumbu wa kiwango cha Maiti ya Mnyama, hivi ni kweli bado kuna mtanzania anayeweza kuliamini Jeshi la Polisi la Tanzania linapokuja jambo linalohusu...
Hebu angalieni wenyewe
Katika safari ya demokrasia nchini, uchaguzi wa serikali za mitaa ni msingi wa kujenga jamii imara inayojali sauti ya kila mwananchi.
Hata hivyo, katika harakati hizo...
So long tumeamua kuwa watu wenye akili katika nchi are not fit for the office, na kila wakijitokeza,wote rulling party na opposition tunaungana kuwapiga vita. Basi tuendelee kukaa kwa kutulia. Kwa...
Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo sasa kuna mkwamo mkubwa sana wa kidemokrasia ambao mwenye nyenzo muhimu kuutanzua ama kuuacha uendelee kukua ni mheshimiwa Rais.
Naita mkwamo kwa sababu tofauti...
Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia...
Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT...
We chunguza tu makamanda wote wa Chadema wako live hapa Jf kuanzia Juzi hadi sasa hivi
Wote akina Tindo, Mshana jr, Retired, Erthrocyte nk wapo hapa hawajapigwa kirungu hata kimoja
Hii...
John Heche (Makamu Mwenyekiti Tanganyika wa CHADEMA) katika hotuba zake kwenye mikutano ya kampeni za NO REFORMS NO ELECTION 2025, mara kwa mara ametumia maneno haya, kwamba, dola la Tanzania kwa...