PreGE2025 KESI YA LISSU: Mtandao changamoto, hakimu aahirisha kwa muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,310
Reaction score
18,492
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.

1747031996654.png
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.

Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.

Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.

Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
 
Kesi za live hazihitaji excuse hiyo live ya kwanini wasiipeleke YouTube?

Yani wameweka server traffic ikifika watu 1000 inajam.
Hii kesi ya Gachagua mimi nimefuatilia live YouTube hakukua na huo upuuzi unaingia mara umeombwa password.

View: https://youtu.be/Hb5TB7Uyamk?si=Pv91jKBuehox60oJ

Waiweke hata kwenye ukurasa wa YouTube wa TBCCM au wanaogopa nini kule mtu anajoin direct sio hizo longolongo wanazoleta hapa na kufikiri bado kila mtu yuko gizani.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.

Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.

Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.

Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.

Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.

Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.

Hahaha tunaposema wanakariri na hivi vitu vya tech vinahitaji akili nje ya uwezo wa chawa wanasema tunatukana!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.

Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.

Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.

Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.

Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.

Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
serikali ya ccm poor technology, mleteni Lisu mahakamani
 
Kwa sasa Kila kitu kimetekwa na serikali....mahakama uhuru wake uko wapi?
 
Mahakama tanzania na uwazi

View: https://m.youtube.com/watch?v=DJ6L45qjd6U
Tanzania Chief Court Administrator, Prof. Elisante Ole Gabriel Friday dated June 14, 2024 led a meeting of top administrators of Southern and Eastern Africa Judiciaries to discuss various issues relating to justice dispensation and improvement of judiciaries’ efficiency.

Source : mahakama ya tanzania
 
Hatari sana, hapo ndio tuone wote ujinga wa CCM.. Karne ya 21 kwenye jambo serious unapata shida ya mtandao.

Mnajua kabisa hii ni serious kesi iliyovuta watu wengi, haya mambo yalipaswa kusetiwa mapema.

Bado utasikia umeme umakatika, mara Generator bovu toka mwaka jana mwezi wa sita ukienda kwenye makaratasi utakuta lilishanunuliwa lakini physically halipo..
 
Hadi muda huu naamini Lissu hakupona kwa bahati mbaya kwenye lile shambulio la risasi.

Mungu ana jambo na huyu mtu na kama CCM wataendelea kushindana nae mwisho wao utaanzia kwa Lissu. Sababu hawapambani na Lissu bali yule aliyemponya kwenye lile shambulio.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.

Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.

Hatua hiyo inatokana na mshtakiwa huyo kutokufikishwa katika mahakama hiyo hivyo, kesi zake mbili zitasikilizwa kwa njia ya video.

Uamuzi huo umetolewa leo, April 24, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Geoffrey Mhini wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa njia ya video, ili mshtakiwa asomewa hoja za awali.

Hakimu Mhini amesema kutokana na mtandao kusumbua, anaahirisha kwa muda na kama utakuwa bado kuna changamoto atatoa uamuzi.

Hata hivyo, ukumbi huo wa video conference uliopo katika Mahakama hiyo, umejaa hali iliyopeleka baadhi ya watu kuzuiwa kuingia.
Watumie YouTube
 
Chama Cha Mashetani (CCM) kinaangaika.

God bless Tundu Lissu
na watahangaika sana ila hawatoshinda

hadi muda huu TRUM naye keshajuzwa kuhusu #NoReformsNoElection

unamchezea TAL wewe
 
Back
Top Bottom