Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo: Wote, huvuna...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM...
1 Reactions
8 Replies
526 Views
Msikilizeni hapa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Alafu ujiulize, wanapataje hivi vyeo?? Yaan ilimradi wewe ni CCM, unajua kulipoka imeishaaaa Hawa watu kweli ndio walosoma Vyuo vikuu vya Sheria...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Taratibu injili ya NO REFORMS, NO ELECTION inaanza kuwaingia hata waliokuwa na mioyo migumu kama chuma ndani ya CCM... Huyu hapa kwenye video hii ni Mbunge wa CCM jimbo la Mlimba, wilaya ya...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Mchakamchaka wa kuomba kuteuliwa Kugombea Ubunge katika Jimbo la Kigamboni Jijini Dar es salaam zimeanza kupamba moto ambapo leo Katibu wa Idara ya Mambo ya nje ya chama cha Act-Wazalendo Wakili...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
"Tusipotoshe umma kutaka kutekeleza jambo ambalo tunajua hata wale wanaopendekeza hawajatekeleza wajibu wao. Utaratibu wa utunzi wa sheria unasema mtu binafsi, Mbunge au Wizara yenye dhamana...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Aisee ngoja tukumbushane akili hapa, maana kuna vitu vinaenda kama sinema, lakini maisha si movie—ni real life. Hebu tujiulize kwa akili straight up: Tundu Lissu yuko gerezani – but for real tho...
1 Reactions
4 Replies
459 Views
Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar Es salaam inatarajiwa Mei 22, 2025 saa mbili asubuhi mbele ya Jaji Obadia Bwegoge anatarajiwa kusikiliza Waasisi wa chama cha siasa cha Independent...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Ni muda mzuri kuwasikilizisha wana CCM jambo hili..kwa kifupi kabisa, siasa za Tanzania zimechukua sura mpya ya UHASAMA mara tu Stephen Wassira alivyokuwa Makamu Mwenyekiti CCM Taifa, uhasama...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION. NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO. Kichwa: Pendekezo la...
3 Reactions
5 Replies
941 Views
Wafanyakazi wa hii aridhi ya Tanzania hawana tofauti na Wanafunzi wa Chekechea, ambao wanaogopa hata kuomba ruhusa mwalimu awende kujisaidia na hadi wanajikojolea au kujinyea. Wafanyakazi ni...
1 Reactions
8 Replies
616 Views
Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan. Kupata matukio na taarifa...
0 Reactions
5 Replies
403 Views
Hii TLS ya mwambukusi mara hata 1000 ya ile ya Edward Hosea, Hosea pamoja na kuwa alikuwa ni wa mfumo ila anagalau kiasi. Fikiria mwanachama wao na kiongozi wao anakamatwa anasweka ndani, wako...
1 Reactions
6 Replies
598 Views
Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini? Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini...
8 Reactions
143 Replies
3K Views
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto amesikitishwa na taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ya kudai...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…