Nani anaruhusiwa kuchanganya dini na siasa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:

Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.

Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.

Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.

Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.

Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke

Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
 
Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:​

Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.​

Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.​

Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.​

Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.​

Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke​

Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.​

😀😀😀
 
Sio kweli, dini na siasa ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Inashangaza sana wakati huo huo kuna wachungaji ni wanasiasa
Mch. Msigwa
Past. Gwajima
 
Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:

Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.

Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.

Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.

Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.

Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke

Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
Serikali tu ndiyo aruhusiwa kuchanganya dini na siasa,kwa kuwa huzihudumia dini na si vinginevyo
 
Si kweli. Hata dini zinaihudumia serikali kwa kudumaza akili za wafuasi wao.
Serikali ya nyerere ilifundisha ujamaa,na binaadam kutokana na nyani, mijadala ikawa mikubwa taasisi za elimu na wasomi kuacha dini,'taasisi ya dini' ikalalama kwa nyerere ikihofia kukosa wawakilishi serikalini,joto likatulizwa,so serikali haihitaji dini,kama china tu
 
Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:

Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.

Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.

Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.

Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.

Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke

Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
Wanaoruhusiwa kuchanganya dini na siasa kwa awamu hii ni Bakwata tuuuu. Wale wa majoho ni marufuku.
 
Mwanangu niheshimie. Ulidhani sifikiri kweli 😛 😛 😛 😛
Majority of the population never bother to look at things with an independent mind. It's easier to go with the flow, stick to existing teachings ....etc.
 
Unaweza kuthibitisha kwa hoja zenye mashiko au unajisemea tu?
Dini zina utaratibu na miongozo, zina vitabu, guidlines. Vongozi wa dini watacheza kote but hawatoki nje ya taratibu za dini zao.

Siasa on the otherside haina taratibu no proper guidlines, anachojisikia mwanasiasa kukisema ndicho kinachomtoka
 
Wanaoruhusiwa kuchanganya dini na siasa ni wale tuu wanaosifia mpiga mwingi!
Ila akiupiga mchache ndio unakuwa umechanganya dini na siasa!
Kunya anye kuku akinya bata...
 
Back
Top Bottom