Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika...
Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika...
Juzi nimeota jinsi uchaguzi wa mwaka huu utakavyokuwa mgumu kutokana na wakristo wengi hawatopiga kura yaani wataususia ivyo CCM itawalazimu kuiba kura kwa kuwakusanya wanafunzi kuwapigia kura...
Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua.
Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama...
Hii ndio Taarifa mpya niliyopenyezewa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, Ni kwamba imepangwa Mabalozi wote wa Jumuiya ya Ulaya wahudhurie Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani
Bado haijafahamika...
Ndugu zangu Watanzania,
Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha...
"Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima, hugeukia familia yake." One of my most favourite age-old adages. Literally, msemo huu unamaanisha kwamba mtu akishamaliza kufanya mabaya kwa kila "asiyemhusu"...
Nchi za Africa zinazoishi kwa misaada hadi zama hizi zitaendelea kuamuliwa mambo Yao yote na Wazungu
Angalizo limetolewa na Rais Trump wakati akitangaza kutogombea Urais 2028
Chadema kama...
Leo ndio jeneza limepigiliwa misumari hakuna mwanachi wala wafuasi wa CHADEMA waliojitokeza hapa ujasiri wao wa matusi mengi mitandaoni lakini kwenye mageuzi ya kweli hawapo siriasi...
Ushauri...
Hakuna Polisi wa Tanzania aliyevunja rekodi ya Ukatili wa IGP wa zamani Omari Mahita, lakini tuiangalie hali ya sasa ya Omari Mahita baada ya Upolisi wake kwisha
Hapa chini ni picha ya Mahita wa...
Salaam, Shalom!!
HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi.
Sasa Kwa kuwa...
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao.
===
UPDATE
Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa TSh20 milioni kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, kwa ajili ya kusaidia gharama za mafuta ya gari katika mizunguko yake ya kichungaji...
Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato...
Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam Inayoketi Kisutu Shauri la Jinai namba 202504102000008606 Jamhuri dhidi ya Tundu Antipace Lissu mbele ya Mhe. Geofrey Mhini, Hakimu Mkazi Mwandamizi...
Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya.
Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa...