Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
Nchi sasa haiongozwa kwa sheria hakuna muongozo unao mtaka mtu asindikizwe kwa ukomo au idadi flani kwa jeshi la polisi kuwapiga watanzania kwa kusindikiza mtu kwa sababu za kusindikiza zina minya...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni...
1 Reactions
105 Replies
6K Views
Mei 14, 2025, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amekutana na viongozi wa Ngome ya Wanawake wa kata 20 za Manispaa ya Lindi mkoani Lindi katika kikao kilicholenga...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka...
77 Reactions
165 Replies
9K Views
LEO 14/5/2025 BUNGENI DODOMA MCHANGO WA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA. Mbunge wa biharamulo ambaye pia ni mwanakamati wa kamati ya...
0 Reactions
7 Replies
561 Views
YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yetu kwa sasa CHADEMA kinaonekana kushika chati kwa misingi kuwa wananchi wanakiona kama chama kinachobeba ajenda za wananchi. Viongozi wa dini wanakielewa...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda. Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa...
22 Reactions
112 Replies
5K Views
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea Ametangaza uamuzi huo akiwa...
21 Reactions
405 Replies
25K Views
Very serious Accusation! Needs immediate Attention and Action!
0 Reactions
2 Replies
326 Views
Wakuu ! Habari zenu, siku ya leo hapa kwenye kata yetu nimeona majina ya wapiga kura Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani yamebandikwa. Chakushangaza hata majina na sura za Marehemu waliokwisha...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kurejea kumbukumbu za Bunge, ili kuona namna Mbunge...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo...
0 Reactions
7 Replies
581 Views
Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli, na kama huamini, tembelea Banana Republic uone yanayoendelea. Mmekwisha unless mnajikomboa. Sitaki maswali. Kwaherini.
2 Reactions
4 Replies
423 Views
Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka...
5 Reactions
11 Replies
865 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…