Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni hizi hizi tone tone au kuna fungu lingine la kukirimia wageni Maana wageni waliozuiliwa JNIA ni zaidi ya 6 lakini wengine inasemekana waliingia mapema, huu siyo ugeni mdogo kuuhudumia...
2 Reactions
21 Replies
832 Views
Mmoja wa wataalamu wakubwa wa afya nchini Tanzania, Profesa Mohamed Janabi, anawania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika, baada ya kupendekezwa na...
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Naona ina wafuasi wengi kutoka kenya kuliko Tanzania
3 Reactions
4 Replies
373 Views
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter. Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu...
20 Reactions
122 Replies
3K Views
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na...
77 Reactions
265 Replies
14K Views
Hii ni kwa sababu upo Ushahidi wa wazi kwamba wanatumika kujaribu kupambana na Chadema kwa masilahi ya Chama chao cha CCM. Kumlipia Mchome Apartment Masaki kwa kutumia hela za Umma ili atumike...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
1. Wachina wangefilisi mitaji ya Watanzania wote. 2. Wachina wanapouza, huhifadhi fedha kwenye benki za kwao na kuwekeza katika nchi yao. 3. Mzawa anapopata fedha, huiweka kwenye benki za ndani...
12 Reactions
141 Replies
6K Views
Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo (This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Baba wa Taifa alituaambia kaburu siyo rangi, hata km we ni mweusi km tabia zako ni za kikaburu za kibaguzi we ni kaburu tu! Wafanyabiashara wale ni wezi, ni waongo, bei wanazouzia bidhaa ni za...
4 Reactions
4 Replies
479 Views
Wakuu, Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na...
2 Reactions
7 Replies
711 Views
Wakuu! Wanavyuo wa mkoa wa Iringa ambao pia ni Wanachama wa Kampeni ya 'Mama Asemewe' katika kongamano kubwa la wanavyuo lililofanyika katika mkoa huo lililobeba jina la Kongamano la Tafakuri ya...
0 Reactions
11 Replies
613 Views
Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Lissu Mahakamani Leo: Je, Watanzania Tunalala au Mungu Anatuonyesha Kitu? Leo, Tundu Lissu, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema, amefikishwa tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es...
1 Reactions
4 Replies
544 Views
Wakuu, Baada ya taarifa, kusambaa kwamba CCM inasambaza waraka ya kuomba hela za kampeni kwa wafanyabiashara, chama hicho kimeitokeza kujisafisha zikisema kuwa taarifa hizo ni za uongo Soma pia...
1 Reactions
7 Replies
566 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka. Lissu anahoji; "Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kesi za Lissu zimeanza kuchukua sura ya Mama anayempiga mwanae kwa kumuonea hadi majirani waneamua kuja kumtetea mtoto ambaye sio wao. Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi...
5 Reactions
4 Replies
528 Views
Wakuu, Kwa wale ambao tumeshindwa kufika mahakamani channel ya mahakama inarusha tukio hili mubashara (maana TBC imegoma kurusha tukio hili lenye maslahi ya taifa), lakini kwa quality ya video na...
3 Reactions
5 Replies
350 Views
Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa...
40 Reactions
360 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…