Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu. Mei 13, 2025 viongozi na...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
John Heche Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
41 Reactions
185 Replies
9K Views
🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao. 🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine . Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
On September 5th, American Chamber of commance (AMCHAM) Tanzania proudly hosted an engaging and insightful event themed "Unlocking PPP Potential: Empowering Diaspora and U.S. Businesses for...
20 Reactions
77 Replies
3K Views
Embu Watanzania tafakarin Hawa watu wanafanya Utekaji, wanaua, wanawapa watu ulemavu na kuwapoteza watu hata wasionekane. Kwann? Kwa sababú wanajua endapo wataruhusu Mabadiliko Kwa njia za...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Shilingi trilioni 2.28, ikiwa ni ongezeko la takribani asilimia 28.89 kutoka trilioni...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
https://www.youtube.com/watch?v=wGZzLWb4Xeo Mkutano wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Waandishi wa Habari wa Jijini Dodoma kueleza mafanikio ya Miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Nimemsikia Waziri wa Ujenzi, Abdalla Ulega akigombana na Makandarasi wa kichina wanaotekeleza miradi kadhaa ya DART(Dar es salaam Rapid Bus Trasnport), inayohusu ujenzi wa barabara za mwendo kasi...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Hamjambo Wore! Nimeona huko mitandaoni watu wakiwalalamikia G55 kukimbia CHADEMA kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ulaji kuguswa. Watu huwalaumu wakisema, inamaana wamesahau Damu na roho za...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo: 1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania...
11 Reactions
216 Replies
10K Views
"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari wanabodi! Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania...
2 Reactions
15 Replies
962 Views
Mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Joelson Mpina (MB) akichangia bajeti ya wizara ya viwanda na biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo tarehe 14 mei 2025 bungeni Dodoma...
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Walio soma Cuba wanaweza tusaidia hapa, au ni adimin wa account ya Raisi anaumwa? Hii alikuwa kwenye ndege kuanza ziara ya Kenya na Tanzania. Ikulu Kenya Akiwa na Ruto Kwa kifupi zipo tu za...
2 Reactions
10 Replies
835 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni . Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana . Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau...
3 Reactions
20 Replies
876 Views
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…