Kuna Mtanzania anaye elewa msingi hasa wa hii CCM ya sasa! Ina simamia nini hasa?
CHADEMA tunajua inasimamia demokrasia, maendeleo, HAKI (Uhuru wa upigaji kura, Tume huru, mikataba ya uwazi, na...
A picture that speak louder than words
Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua...
Wakuu,
Wadukuzi wameonesha ni jinsi gani kuna matobo kwenye mifumo ya ulinzi nchini. Mpaka page ya polisi inadukuliwa, baada ya kuangalia wamewezeje kufikia mifumo yao eti wanamtafuta mpotoshaji...
Umeshawahi kujiuliza, hivi ukikamatwa na polisi, ukafunguliwa kesi, ukakaa mahabusu mwaka mzima kupisha uchunguzi ukamilike, baadaye ukaachiwa kwakuonekana hukuwa na hatia, nani anayekufidia...
Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika.
Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno.
Kuwa Mzalendo wa kweli.
Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilihusika moja kwa moja katika kusaidia vyama vya ukombozi kama:
1. ANC ya Afrika Kusini,
2. ZANU-PF ya Zimbabwe,
3. MPLA ya Angola,
4. FRELIMO ya Msumbiji na
5. SWAPO...
Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na...
Kulia ni kwa kupokezana!
Sasa hivi madhila wanayopitia wapinzani mnaweza dhani ni kwa ajili Yao TU. Lakini narudia kuwaambia Tena KULIA NI KWA KUPOKEZANA.
Najua ndani ya chama Cha kijani Kuna...
1. AWAMU YA KWANZA:
Mtakumbuka awamu ya kwanza katika utawala wa Mwl. J.K Nyerere inchi ilipitia maisha magumu sana kwa sababu ulikua ndio mwanzo hali ya maisha na mfumo wa utawala ilisukumwa na...
Bila reform wapenda mabadikilo kokote kule ni vigumu sana kwenda kupiga kura, hata kama leo hii CDM ikasema itashiriki uchaguzi sio rahisi tena watu wabadili mawazo na aakapige kura.
Waatakao...
Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.
Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena...
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais...
Tundu Lissu ameshafanikiwa big time. Historia kashaiandika kwa kupitia kuelimisha UMMA kuhusu NRNE - a big move!
Watoto wengi wa Chuoni wanaosoma Sheria na Utawala wameshapewa desa, limewaingia...
Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo mlivyonavyo kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya.
Hatukupaswa kufanya kosa kubwa sana la...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya...
Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa...
Radi ya kisiasa sasa inashushwa kwa mahesabu. Si radi ya anga, bali ni ile inayopigwa kutoka maabara za mikakati—ambapo lengo si kuangaza, bali kuchoma. Maji yaliyowahi kuchemshwa yanarudishwa...
Salaam!
Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.
Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,
Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia...
Now, 2025!
Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the...