Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, dhidi ya wanaharakati yalikuwa...
Umoja wa Mawakili wa Afrika (PALU) umetoa taarifa kulaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa kwa mawakili wawili wa Kenya Martha Karua na Gloria Kimani pamoja na mwanaharakati Lynn Ngugi...
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, amegawa matofali 41,000 na mifuko ya saruji tani 102 (sawa na mifuko 2,050) kwa kata zote 41 za jimbo hilo kwa...
Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka...
Nimewahi kusema hili na ninalisema tena hapa.
Lissu kakàa gerezani uso wake umenawiri, ana furaha lakini waliomtupa gerezani wamekosa furaha kabisa.
Mtu yeyote bila kujali cheo alicho nacho...
Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati...
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo...
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa...
Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema.
Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini...
Wakuu!
Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯
==
Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa...
Katika mataifa yanayojitambulisha kama ya kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni uti wa mgongo wa utawala bora. Lakini pale ambapo kura zinaibiwa — kwa hila, ujanja ujanja au nguvu — si tu...
Ninaanza kutoa pole kwa rafiki yangu mwanaharakati kutoka Kenya ndugu Bon,
Baada ya salamu za pole naomba nitumie nafasi hii kukuomba samahani dhidi ya madhira yote uliyoyapitia kwa kweli...
https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE
Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na...
Wadau wenye kunishauri na ujinga wangu mnishauri na kunielimisha ila mwenyewe nimekwama.
Eti nawaza Nchi hii ili ule mema yake unatakiwa kutosema hili ovu hasa linapogusa walao keki ili...
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo...
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na...