Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la...
0 Reactions
4 Replies
520 Views
Wakuu habari zenu hapa. Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Mchungaji Abihudi Misholi kwenye wimbo wake unaoitwa ombea amani Tanzania ambao aliuimba kipindi cha Mkapa kuelekea Kikwete umetabiri kwa usahihi kabisa haya yanayotokea leo. Ni bahati mbaya...
3 Reactions
4 Replies
564 Views
Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini? Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
"Kuwa bora hakuhitaji majigambo; matokeo ya kazi yako ndiyo yatakayosema kwa sauti kubwa zaidi kuliko maneno."— Alloyce, P.R.
2 Reactions
2 Replies
340 Views
Hivi karibuni, Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa CCM, alisema kile ambacho wengi wamekuwa wakiongea chini kwa chini: “Vipi kama mtoto wa Rais ndiye angetekwa? Tungesema nini?” Alizungumzia...
5 Reactions
6 Replies
718 Views
Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana...
2 Reactions
2 Replies
343 Views
Chadema wamemaliza ziara Mkoa wa Kilimanjaro. Ajabu ni kwamba wamepita Wilaya zote isipokuwa Wilaya ya Hai. Hakika wanamuogopa Mbowe, wanawaogopa wana Hai
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list...
15 Reactions
172 Replies
6K Views
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wajumbe wanane wa sekretarieti na kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho...
18 Reactions
359 Replies
22K Views
Kujiamini kwa Samia Suluhu Hassan, ni uthibitisho wa uhakika kwa amani, umoja na usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni ishara ya wazi kwamba CCM inakwenda kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu mimi ni mwana CCM na juzi niliona ilani ya CCM ikiwasilishwa mbele ya Mkutano Mkuu kule Dodoma. Kwa kawaida na kwa utaratibu ilani inatakiwa ianzie kwenye ngazi za...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Nimeisoma ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 na kuna mambo mengi yanayoleta maswali, hasa kuhusu hali ya miundombinu nchini. Kwa mfano, mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Sanya Juu, wilaya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa! MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana...
1 Reactions
10 Replies
464 Views
Sijui hizo suffixes "nized" ziko sawa gramatically au la!! Mliosoma HGL na "L" zingine mtanisahihisha kama nitakuwa nimechemka. Naungana na wanaCCM wanaolaani press ya Gwajima. Lakini pia...
21 Reactions
65 Replies
3K Views
If I could be a president. Ninge-ruhusu wagombea binafsi . Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina...
0 Reactions
5 Replies
251 Views
"Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa...
5 Reactions
7 Replies
767 Views
Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule. Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Jamani hebu tuseme ukweli, lakini kwa utulivu... Hii nchi tuna vyama 19 vya siasa na wengine wanataka kuvifikisha 30! 😳 Nimekuwa nikijiuliza tu, kwanini tusibakize vyama vitatu vya maana—vitatu...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
"Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…