Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,373
- 23,326
Wanaupiga mwingi nje ya Uwanja Kapteni wao haeleweki anacheza nini kila pass anayopewa anabutua uelekeo wowote ule.
Hakuna aliyejibu hoja ya Gwajima. Maswali ya Gwajima yamekuwa Magumu sana kujibiwa. Wanapuyanga tu kama kuku alokatwa kichwa akaachiliwa akimbie..
Wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake. Ni ukosefu wa akili na uelewa. CCM wapo nyuma kwa bao tatu na bado wote wamerudi nyuma kulinda lango lao. Wanapoteza muda na kila mara wanatoa mpira nje na kucheza rough zisizo na msingi.
Kocha wao naye hajielewi anabwatuka tu kuwa wacheze rough watoe mpira nje. CCM wanaonekana hawana namna ya kujibu mashambulizi yanayoelekea langoni mwao zaidi ya kuruka ruka na kubutua mpira. Gwajima anacheza kwa utulivu mkubwa akiwasoma wapinzani wake. Anacheza kwa kujiamini.