Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2020 niliposikia Dr Gwajima anagombea ubunge, nilifikiri "kapotoka". Ningekuwa jimboni kwake kipindi hicho nisingempa kura yangu! Lakini sasa nimegundua nilikuwa nimekosea! Alikuwa sahihi...
4 Reactions
2 Replies
345 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya...
3 Reactions
5 Replies
627 Views
Mpo salama! Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii. Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Poleni tena wafiwa. Kwa sababu Mheshimiwa Dr Ndugulile alifariki akiwa bado kazini (Mbunge) na kule WHO alikua bado hajaanza kazi, ingefaa pesa yake yote ya mafao wapewe familia yake.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X) "Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA. Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
294 Views
Kila Rais atakayekuja kuongoza nchi hii atakutana na changamoto kubwa sana.atapimwa kwa kiwango cha juu je, ana uwezo wa kuvaa viatu vya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli? Mambo aliyoyafanya wakati...
6 Reactions
12 Replies
605 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwaka 2020 Lissu kwa kujazwa upepo na wafuasi wake kiduchu na wale waishio nje ya Nchi na kwa kudanganywa na waliokuwa wamempa makazi huko ulaya akajiona kuwa ana uwezo wa...
1 Reactions
45 Replies
1K Views
Mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zimbombo haziko mbali. Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya wahenga wa waswahili. Tangu mjadala ya utekaji ushike kasi, ni wazi kumeibuka makundi...
4 Reactions
9 Replies
703 Views
Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
Wapiga Kura sio mara zote wanakuwa na Uelewa wa Mzizi wa Tatizo lao, hapo ndipo kina Hitler, Trump na wengine wengi wanaweza kutumia fursa ya matatizo hayo ya Wapiga Kura kama Mtaji wa Kisiasa...
0 Reactions
3 Replies
514 Views
Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka. Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi...
4 Reactions
11 Replies
949 Views
Huyu aliyekuwa kada maarufu wa Chadema, baada ya kushindwa uchaguzi na kutokomea ccm, mchungaji msigwa yupo wapi? Mshitueni wenzake wameanza kuopoa vyeo huku, je! Yeye alitoka kindezi? 😀😀
6 Reactions
16 Replies
876 Views
Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu. Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau...
21 Reactions
119 Replies
9K Views
Traore majuzi kasema 'Naijenga Burkinafaso Kwa ajili ya wanyonge '!! Akaenda mbali zaidi, akasema 'Nauchukia Ufisadi na viongozi Mafisadi ambao wametanguliza Maisha yao mbele kuliko Raia wetu...
1 Reactions
3 Replies
272 Views
Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote...
1 Reactions
7 Replies
289 Views
"Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa. Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
1 Reactions
2 Replies
485 Views
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo. Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine...
1 Reactions
13 Replies
484 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…