figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,380
Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu.
Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA.
Twende Taratibu.
Pamoja na kuchakachua kote kwenye uchaguzi wa Mitaa 2024, zoezi la uandikishaji wa wapiga kura lilifanyika kuanzia tarehe 11 mpaka 20 Oktoba, 2024 jumla ya wapiga kura 31,282,331 walijiandikisha.
Waliojitokeza kupiga kura tarehe 27 Novemba, 2024 ni 26,963,182 sawa na asilimia 86.36 ya wananchi waliokuwa na sifa ya kupiga kura Tanzania. Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120.
Hoja inakuja hapa.
Uchaguzi Mkuu wa 2020 CCM kupitia Hayati Magufli ilipata kura 12516252 ambapo hakufikisha hata nusu ya waliojitokeza Serikali za Mitaa 2024.
2024 jumla ya wapiga kura 31,282,331 walijiandikisha kupiga kura, huku Rais anayewaongoza amepata kula Milioni 12.. Je, hao wengine walipigia Chama gani?
Ndoo maana nasema CCM ni Ndogo kuliko CHADEMA.
Kati ya watu jumla ya wapiga kura 31,282,331 wenye Sifa ya kupiga kura inapata kula Milioni 12. Utajiitaje chama dola, chama kikubwa.
Ndoo maana CHADEMA wanasema CCM Wanaiba kura. Je, hao wengine wamepigiia nani kura?
CCM imechoka. Tanzania haipendwi ndo maana haipigiwi kura. Watu Milioni 64, halafu umepata kula Milioni 12 unataka watu hao Milioni 12 wafanye maamuzi ya watu Milioni 64. Haiwezekani.
Hivyo CCM wanachofanya ni kusema CHADEMA haina wanachama. Ili wanapoiba kura zao inaonekane hawajaibiwa. Hata CHADEMA ikijaza watu Mikutano wanadai ni picha za Komputa.
Na Hii ndo sababu ya CCM kubeba watu kwenye malori kujaza uwanja ili kuonesha dunia wana wafuasi, ili wanapoiba kura wasishitukiwe.
Wanaopigia kura CCM ndo Wanaccm. Wengine waliobaki wapo CHADEMA.