Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu...
Wakuu,
Kumbe hata huko kwenye Jeshi La Polisi kuna watu bado wana uungwana?
Huyu hata akifukuzwa kazi huko Polisi wananchi simameni mumchangie.
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga...
Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO.
Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi...
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao
Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni...
Visiwa tajwa hapo juu vina bahati sana.
Vina serikali yake
Vina wabunge wake kwenye bunge la muungano,
Vinaendeshwa na fedha toka Bara
Vina mamilioni ya watu wake Bara
Vina watu wenye uraia pacha...
wakuu
Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira?
Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote...
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.
Ila sasa njoo Dar...
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha...
Vita ya Chama cha demokrasia na maendeleo dhidi ya amri iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam kupiga marufuku kufanya shughuli zozote za kiutendaji kwa muda...
Wakuu,
Nilikuwa napitia hii ilani ya CCM ambayo waliizindua huko Dodoma hivi karibuni.
"Kuimarisha ulinzi wa Bahari dhidi ya matumizi yasiyosahihi na usalama wa nchi kwa kufunga rada tano (5)...
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia...
Msingi wa CCM umejengwa juu ya TANU ambayo Wanachama wake ndio walipigania Uhuru Chini ya Mwenyeheri Julius Nyerere
Unapopambana na CCM ni lazima ujue Serikali ya JMT ni zao la TANU yaani TANU...
Salamu kwenu Gen Z na wanavyuo wote.
Baada ya salamu nachukua fursa hii kuwaandikia barua ya uwajibikaji wa kiraia.
Msemaji wa serikali bwana Gerson Msigwa ametoka hadharani katika vyombo vya...
Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake?
Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu...
Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu.
Yaani washaona...
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025...
Uzalendo na masilahi binafsi ni dhana mbili tofauti zinazohusiana na jinsi mtu anavyofikiri na kutenda katika jamii yake. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
Uzalendo
Maana
Uzalendo ni...
Hamjamboni Wote!
Pamoja na harakati zake zote lakini Lisu sio Yule Mpakwa mafuta atakayekikalia kiti na kuiweka nchi katika Mstari Sahihi.
Na hapa tunazungumzia Mstari wa Haki utakaowapa Uhuru na...