Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza. Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana...
0 Reactions
82 Replies
2K Views
Ukilinganisha Bunge la Sitta, Bunge la Makinda , Bunge la Ndugai vs Bunge la Dr Tulia utaelewa ninachosema Halafu linganisha Bunge la Chifu Mkwawa vs Bunge la Dr Tulia utaelewa zaidi ninachoonges...
2 Reactions
4 Replies
342 Views
Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwenye ile Barua iliyosambazwa kuhusu kufungia Kanisa hilo aiweke hapa tumjue aliyesaini ili tujue anakowajibika tuwaunganishe wote na laana ya Mungu. Kiherehere wa mwanzo kabisa ni RPC wa Mbeya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa...
2 Reactions
10 Replies
788 Views
Wasalaam. Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado...
1 Reactions
2 Replies
392 Views
"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!! Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna uwezekano mkubwa Israel akaendelea kuwapiga Iran Tuwaombee ndugu zetu walioko huko Ahsanteni sana 🇹🇿
1 Reactions
12 Replies
497 Views
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka? Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba Naomba...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema; "Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa...
0 Reactions
5 Replies
620 Views
"Mama of wisdom became a leader over a country of uncultured people, not to rule them with scorn, but to teach them that greatness is not inherited, it is learned." — Alloyce, P.R.
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma...
23 Reactions
56 Replies
4K Views
Mbunge mstaafu mh Seleman Bungala amesema Siasa ni biashara inayolipa sana hasa Ukiwa mbunge au mwenyekiti wa Chama taifa Bwege amesema wenyeviti wa vyama vya Siasa wanafanya biashara kubwa sana...
1 Reactions
6 Replies
465 Views
Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Liberatus Mwangombe and Likokola raise their voices to rescue democracy in Tanzania https://youtu.be/l9erg9tHckI
32 Reactions
69 Replies
4K Views
Mbunge mstaafu wa Kilwa mh Seleman Bungara aka Bwege amesema haitafika mwezi August kabla Mbowe “ hali si” hajajulikana kama ni Bata au Kuku Kwa kawaida Bata hutanguliza WATOTO mbele ( Chaumma...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…